JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri


Shamte, Jussa jicho kwa jicho

ZANZIBAR Na Mwandishi Wetu Mwanasiasa mkongwe, Baraka Mohamed Shamte, amemtaka Mjumbe wa Kamati Kuu ya ACT-  Wazalendo, Ismail Jussa Ladhu, kuacha kauli za upotoshaji. Moja kati ya kauli anazodai zimetamkwa na Jussa ni madai kwamba CCM haina dhamira njema katika Serikali ya Umoja…

Kuhifadhi misitu kuanze  kwa udhibiti bei ya gesi

Bei ya gesi asilia ambayo imegeuzwa kuwa kimiminika (LNG) inayotumika kwa wingi mijini kwa ajili ya kupikia, imepanda katika siku za karibuni. Kupanda kwa bei ya gesi hii kunakuja wakati Watanzania wakisubiri mustakabali wa malalamiko yao kuhusu kupanda kwa gharama…

RITA kuondolea adha uhakiki wa vyeti

DAR ES SALAAM Na Aziza Nangwa Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) umewataka wanafunzi wanaohakiki vyeti vya kuzaliwa kwa ajili ya mikopo kuzingatia maelekezo ili iwe rahisi kupata huduma. Ofisa Habari wa RITA, Grace Kyasi, amelieleza JAMHURI kuwa kuna…

DC: Wastaafu msioe watoto, mtakufa 

ARUSHA Na Bryceson Mathias Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Sophia Mjema, amewaasa wastaafu kutotumia mafao watakayopata kuoa watoto wadogo au kuolewa na vijana, akisema watawasababishia kufa kwa kihoro. Sophia ameyasema hayo wakati akifungua semina ya elimu kwa wastaafu watarajiwa zaidi…

Yah: Chakula cha jioni kilicholiwa kwa kuzunguka sinia, ungo

Kwanza niwatakie habari njema waungwana wa uga huu wa ‘Waraka wa Mzee Zuzu’ mnaonijulia hali kila iitwapo leo, lakini pia wale wote mnaoguswa na kile ninachokiandika.  Si lazima kila mtu anielewe kwa sababu ninaamini msomaji wa waraka huu lazima awe…

Lugha ni msingi wa umoja

Umoja ni tabia ya kuungana ili kutekeleza shughuli fulani katika kundi kwa pamoja. Tabia hii ni ya binadamu, na baadhi ya wanyama na wadudu. Lengo la kuungana au kuwa na umoja ni kujipatia nguvu zaidi na uwezo zaidi katika kutenda…