JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Masauni: Wekezeni katika  kilimo, mifugo, uvuvi

DAR ES SALAAM Na Paul Mahundi Ziara ya Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhandisi Hamad Masauni,  Makao Makuu ya Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) wiki iliyopita, imeonyesha dhamira ya Serikali ya Awamu ya Sita ya kufuatilia hatua…

Changamoto zilizopita zilete suluhu

DAR ES SALAAM Na Pawa Lufunga Miaka takriban 70 ya vyama vya siasa na uhuru Afrika; Tanzania ikiwa na uzoefu wa takriban miaka 30 ya siasa za vyama vingi, lakini bado haijashuhudia upinzani ukiinusa Ikulu ya Tanzania Bara wala ya…

Familia ithamini mafunzo na maadili ya dini

Pamoja na migongano ya wataalamu wa lugha juu ya fasili ya neno familia, kiujumla familia ni kundi la watu wanaokaa pamoja kama baba, mama na watoto.  Kikundi hiki mara nyingi ni sehemu ya kundi kubwa zaidi la ukoo unaounganisha watu wenye asili katika uzazi wa pamoja.  Familia zinatofautiana…

Maisha ni mapambano hadi kifo

Na Joe Beda Rupia Gesi ya kupikia imepanda bei. Hili unaweza kudhani ni suala dogo tu. Lakini kwa hakika lina ukubwa wake na limenifikirisha sana. Sisi ambao wazazi wetu ni wazee na sasa wanaishi peke yao vijijini, tukaamua kuwapunguzia ‘msalaba’…

Chanjo ya corona yaitikisa Afrika

DAR ES SALAAM Na Mwalimu Samson Sombi Mataifa mbalimbali duniani yamo kwenye vita kali dhidi ya ugonjwa wa COVID-19 unaotokana na virusi vya corona tangu kugundulika kwa ugonjwa huo wa homa kali ya mapafu katika Jiji la Wuhan, China, Desemba…

Zabikha lawamani ada darasa la saba 

DAR ES SALAAM Na Aziza Nangwa Baadhi ya wazazi wenye watoto wa darasa la saba katika shule binafsi kadhaa wamelalamika kulipishwa ada kinyume cha mapatano. Wazazi wanalalamika kutozwa ada kubwa huku wakilazimishwa kumaliza malipo sawa na ya mwaka mzima kwa…