Author: Jamhuri
1,798 waptishwa kugombea uenyekiti Serikali za Mitaa Ilemela
Manispaa ya Ilemela inaendelea na maandalizi ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024, ambapo jumla ya wagombea 1,798 wa vyama mbalimbali vya siasa wakiwemo 171 wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamepitishwa kugombea nafasi za uenyekiti na ujumbe wa kamati za…
Akiba Commercial Bank Plc yawatoa hofu wateja wake wa Kariakoo walioathirika
Na Magrethy Katengu,JamuhuriMediaDar es Salaam Akiba Commercial Bank imeendelea kujitoa si tu kuhudumia wateja wake bali pia kushiriki katika juhudi za kijamii wakati wa dharura na majanga, ikiwa ni sehemu ya dhamira yake ya kujenga jamii imara na yenye mshikamano….
Luhemeja: Ni wajibu wa kila mmoja kushiriki katika kuhifadhi mazingira
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Mhandisi Cyprian Luhemeja amesema mazingira ni suala mtambuka hivyo ni wajibu wa kila mmoja kushiriki kikamilifu katika kuyahifadhi. Mhandisi Luhemeja amesema hayo wakati akizungumza na Watanzania wanaoshiriki Mkutano wa 29 wa Nchi Wanachama…
Waziri Kombo aagana na Balozi wa Iran
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo ameagana na Balozi wa Jamhuri ya Kiislam ya Iran Mhe. Hossein Alvandi Bahineh ambaye amemaliza muda wake wa uwakilishi nchini. Akizungumza katika kikao hicho kilichofanyika…
Baraza la Madiwani Same lamundoa kazini mtumishi kwa tuhuma za kughushu vyeti
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Same Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Same limeazimia kumuondoa kazini Hellen Sige, aliyekuwa Bibi Afya wa Kata ya Hedaru, kwa tuhuma za kugushi vyeti. Uamuzi huo ulifikiwa mwishoni mwa wiki hii katika kikao…