JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Ndimi mbili ni hatari

Binadamu ni kiumbe mwenye maumbile na sifa tofauti na wanyama wengine. Ana hulka inayomwongoza kujifunza kutoka kwa jamaa yake au jamii yake. Ana dhamiri inayomwezesha kutofautisha kati ya mambo yanayostahili kutendwa au kutotendwa katika jamii anamoishi. Aidha, binadamu ana nafsi,…

Hafla ya Rais azungumze Rais

Mzee Ali Hassan Mwinyi amepata kusema kila kitabu na zama zake. Kuanzia uongozi wa Awamu ya Kwanza hadi sasa Awamu ya Sita, yapo mambo yanabadilika kulingana na kiongozi aliye madarakani. Haiwezekani staili ya kiongozi mmoja ikafanana au ikatofautiana kwa asilimia…

Upinzani si mtu wala si watu

Na Pawa Lufunga Utawala bora unaoheshimu haki, uhuru wa wote, haki sawa na furaha kwa wote hutokana na siasa safi inayosimamiwa na jamii chini ya mifumo safi ya kisheria kupitia katiba iliyoandaliwa kwa ushiriki wa jamii. Ni wazi kuwa kila…

Kuna watu wananyimwa ‘keki ya taifa’?

Na Joe Beda Rupia Keki. Inadhaniwa kuwa ni moja kati ya vyakula vitamu duniani. Wakati mwingine hutumika kama alama ya upendo na umoja. Keki. Shughuli bila keki haijakamilika. Harusi au sherehe za kuzaliwa bila keki! Hiyo haiwezi kuwa shughuli. Haijakamilika….

Adaiwa kuiba misalaba makaburini

KATAVI Na Walter Mguluchuma Polisi mkoani Katavi wanamshikilia mkazi wa Majengo mjini Mpanda, Mashaka Sokoni (28), kwa tuhuma za kukutwa na vipande 35 vya vyuma vya misalaba ya makaburi. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi, Benjamin Kuzaga, amesema Sokoni amekamatwa…

Hili la madarasa lazima  Ma-RC wakumbushwe?

Watoto zaidi ya milioni moja wamo katika maandalizi ya mitihani ya kumaliza masomo ya shule ya msingi inayotarajiwa kufanyika mwanzoni mwa mwezi ujao nchi nzima. Maana yake ni kwamba ndani ya miezi mitatu tu baada ya hapo, watoto hawa watahitaji…