JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Waziri Kalemani atumia kivuli cha ‘maagizo kutoka juu’

Na Mwandishi Wetu Waziri wa Nishati, Medard Kalemani, ametajwa kutumia lugha ya kwamba kuna “maagizo kutoka juu” mara nyingi anapowapa maelekezo watendaji wa wizara yake kuhakikisha mambo yanapitishwa haraka, JAMHURI limeambiwa. JAMHURI limeelezwa kuwa kama si Katibu Mkuu wa Wizara…

Mbowe, chanjo na hujuma CCM

Na Deodatus Balile Mpendwa msomaji salamu. Sitanii, tangu nimepata pigo la kuondokewa na Mkurugenzi mwenzetu, Mkinga Mkinga, Juni 24, 2021, sijaandika katika safu hii.  Itanichukua muda kuamini kuwa kweli Mkinga amefariki dunia, ila nalazimika kuukubali ukweli kwamba sisi tu waja…

Sekretarieti yavujisha mitihani ajira za TRA

DAR ES SALAAM NA DENNIS LUAMBANO Mitihani na majibu ya usaili wa walioomba ajira zilizotangazwa na Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS) kwa ajili ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) vimevuja, JAMHURI linathibitisha. PSRS walitangaza ajira hizo Juni…

Sabaya aamua kufukua makaburi

ARUSHA Na Hyasinti Mchau Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Lengai ole Sabaya, amedai mbele ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha kwamba alikwenda kwenye duka la Shaahid Store kutekeleza maagizo ‘kutoka juu’. Akiongozwa na Wakili Mosses Mahuna wakati…

Karibuni kwenye ‘show’ za Aucho 

DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu  Wiki iliyopita Yanga walimalizana na Mganda Klalid Aucho. Aucho ni kiungo wa ulinzi anayefanya sana kazi kiwanjani. Hapa Yanga wamepata mtu wa shoka. Binafsi ni shabiki wa Aucho. Tena ni shabiki wake mkubwa. Tangu…

S2Kizzy: Master J, sisi si chawa

DAR ES SALAAM Na Regina Goyayi Kauli iliyotolewa hivi karibuni na mtayarishaji mkongwe wa muziki nchini, Joachim Kimaryo, maarufu kama Master J, imemuibua mtayarishaji ‘chipukizi’, S2Kizzy, akisema siku hizi mambo yamebadilika. Hivi karibuni, Master J amekaririwa akisema watayarishaji wa muziki…