JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Kinywa cha Haji kinahitaji timu bora kiwanjani

NA MWANDISHI WETU  Nchi ‘ilisimama’ kwa muda. Mitandao ya kijamii ilikuwa busy. Kila sehemu ni Haji Manara. Haji Manara. Haji Manara. Haji Manara.  YES! Manara amehamia Yanga na wiki iliyopita jioni moja hivi alitambulishwa katika hoteli moja ya kifahali katikati…

ANNA MWAOLE… Miaka 56 bado anapiga muziki

TABORA Na Moshy Kiyungi Miaka 50 ni utu uzima na kuna watu wanapofikisha umri huo huchoka. Lakini hali hiyo haipo kwa Anna Mwaole, mkongwe wa muziki mwenye umri wa miaka 56 sasa. Ni mwanamuziki aliyepita katika bendi na vikundi mbalimbali,…

Kumbukeni hata Mwalimu Nyerere alikuwa mpinzani

Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 inatambua uhalali wa vyama vingi vya siasa. Inasema, Jamhuri ya Muungano ni nchi ya kidemokrasia na ya kijamaa, yenye kufuata mfumo wa vyama vingi vya siasa.  Kumekuwapo matukio ya Jeshi…


Dk. Mwinyi aleta mapinduzi katika uwekezaji

ZANZIBAR Na Rajab Mkasaba Tangu kuanza kazi kwa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) ya Awamu ya Nane Novemba 2020 hadi Julai 2021, Mamlaka ya Kukuza Uwekezaji Zanzibar (ZIPA) imefanikiwa kukusanya miradi 50 yenye jumla ya mitaji ya dola za Marekani…

Viongozi wa dini tujijengee mamlaka ya kimaadili

Mamlaka ya kimaadili ni ile hali ya mtu kuwa na tabia njema inayoifanya jamii kumheshimu, kumuamini na hata kuyapa thamani maneno na ushauri wake na kufanywa kuwa chanzo cha mwongozo au mfano wa mwenendo sahihi kwa wanajamii. Huyu ni mtu…

IGP amekwisha kuhukumu,iundwe tume huru

Askari Polisi watatu, mlinzi wa kampuni binafsi na mtu aliyetajwakwa jina la Hamza, wamefariki dunia katika tukio la kurushianarisasi jijini Dar es Salaam wiki iliyopita.Kutokana na mauaji hayo yaliyotekelezwa na Hamza, Rais SamiaSuluhu Hassan, ameliagiza Jeshi la Polisi kufanya uchunguziwa…