JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Kina Banda Mbezi, Chama Marakech

DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu  Rafiki yangu Abdi Banda amerudi nchini kujiunga na Mtibwa Sugar. Sijui nini kimemtoa Afrika Kusini na kumrudisha nyumbani. Ninahisi kuna tatizo mahala.  Muda ambao wachezaji wa mataifa mengine wanaikimbia ligi yetu kwenda ligi kubwa…

Rosa Ree azungumzia magumu ya mkataba

DAR ES SALAAM Na Regina Goyayi Mwanamuziki wa ‘hip hop’ na rapa maarufu nchini, Rosary Robert a.k.a Rosa Ree, amesema ubovu wa mazingira ya kazi umemfanya avunje mkataba na lebo moja ya Afrika Kusini. Rosa Ree ameliambia JAMHURI kuwa mkataba…

Hamza pasua kichwa

NA MWANDISHI WETU DAR ES SALAAM Kitendawili cha nini kilichomsukuma Hamza Mohammed kufanya mauaji ya watu wanne na baadaye naye kuuawa kinaendelea kuwa kigumu, baada ya mamlaka inayohusika na magonjwa ya afya ya akili kukana kumtibu. Kitengo cha Magonjwa ya…

Mahabusu: Mahakama zinatutesa

Mahabusu nchini wamelaumu taarifa iliyotolewa hivi karibuni isemayo mashauri yaliyokuwa yamerundikana mahakamani yamemalizika kwa asilimia 98. Katika barua waliyoandika kwa Waziri wa Sheria na Katiba na nakala kwenda kwa Jaji Mkuu, Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Mtendaji Mkuu wa Mahakama…

Mbunge aandaa jimbo lake kujitenga

MWANZA Na Antony Sollo Mbunge wa Jimbo la Sengerama mkoani hapa, Khamis Tabasamu, anawaunganisha wananchi, husasan wakulima wa pamba wa jimbo hilo kujiondoa kutoka Chama Kikuu cha Ushirika cha Nyanza (NCU). Hali hiyo inakuja kama maono ya Tabasama kuwa hiyo…

Kila mwananchi awe askari wa taifa letu

DODOMA Na Javius Byarushengo Ule usemi usemao ya kale ni dhahabu si wa kupuuza hata kidogo. Ulikuwa na maana, unaendelea kuwa na maana na utaendelea kuwa na maana. Katika miaka ya nyuma, hususan katika Awamu ya Kwanza ya uongozi wa…