JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

TNBC yazindua kikundi kazi ‘Uchumi wa Buluu’

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Kikundi kazi cha Baraza la Biashara nchini (TNBC) kwa ajili ya kuangalia fursa za kiuchumi zitakazopatikana kupitia Uchumi wa Buluu kimezinduliwa jijini Dar es Salaam, huku wajumbe wa kikundi hicho kutoka sekta sekta…

Dk Chimbi apongeza mshikamano ulioonyeshwa na Watanzania kuanguka kwa jengo Kariakoo

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, amepongeza utayari na mshikamano ulioonyeshwa na Watanzania mara baada ya tukio la kuanguka kwa jengo Kariakoo, akisema kuwa hatua hizo zimeonesha…

Biden aidhinisha Ukraine kutumia makombora ya masafa marefu kupiga Urusi

Rais wa Marekani, Joe Biden, ametoa ruhusa kwa Ukraine kutumia makombora ya masafa marefu ya ATACMS yaliyopewa na Marekani katika mashambulizi dhidi ya Urusi. Afisa mmoja wa Marekani ameithibitishia CBS ruhusa hiyo, ambayo inawakilisha mabadiliko makubwa katika sera ya Marekani…

‘Serikali kuwachukulia hatua kali watu wanaojihusisha na utoroshaji madini’

Naibu Waziri wa Madini Dkt. Steven Kiruswa amesema Serikali haitosita kuwachukulia hatua kali Wachimbaji wote na wafanyabiashara wa madini ambao hawatafuata Sheria ya Madini na kujiingiza kwenye utoroshaji wa madini, ikiwa ni pamoja na kuwafutia leseni, kutaifisha mali zao na…