JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Rais Mwinyi: Tunadhibiti wizi wa fedha za umma

UNGUJA Na Mwandishi Wetu Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema hatua za serikali zinazochukuliwa dhidi ya wizi wa fedha za umma ni juhudi za makusudi katika kuhakikisha zinapokusanywa zinawafaidisha walio wengi badala…

Bouteflika afariki dunia

ALGIERS, ALGERIA Rais wa zamani wa Algeria, Abdelaziz Bouteflika, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 84 baada ya kuugua kwa muda mrefu. Bouteflika ameliongoza taifa hilo la kaskazini mwa Afrika kwa takriban miongo miwili, akaachia ngazi mwaka 2019 baada…

Afya ya Pele yatetereka

RIO DE JANEIRO, BRAZIL Afya ya mwanasoka maarufu duniani, Pele, imedorora baada ya kufanyiwa upasuaji kuondoa uvimbe tumboni,  kisha kulazwa ICU. Hata hivyo,Kely Nascimento, binti wa nguli huyo wa soka, amesema hali yake inaimarika. “Ni kama amepiga hatua mbele. Anaendelea…

Machozi… Albamu iliyompaisha Lady Jaydee

TABORA Na Moshy Kiyungi Judith Wambura, maarufu kama Lady Jaydee, Jide, Komandoo au Binti Machozi ni miongoni mwa wasanii wakongwe wa kike nchini. Msanii huyu ana kipaji na uwezo mkubwa wa kutunga na kuimba nyimbo zenye ujumbe mzito kwa jamii…

Amuua mama, atoweka na mtoto

SHINYANGA Na Antony Sollo Mtu mmoja anayefahamika kwa jina la Rahim Mwita mkazi wa Sarawe mkoani hapa, anadaiwa kumuua mkewe, Monica Lucas, kisha kutokomea kusikojulikana na mtoto wa mama huyo ajulikanaye kwa jina la Prince. Ndugu wa mama huyo, Mabula…

Makabwela wengi wanaumia mahabusu bila kuwa na hatia

Mfanyabiashara James Rugemalira ameachiwa huru baada ya kuwekwa rumande kwa miaka zaidi ya minne akikabiliwa na mashitaka ya uhujumu uchumi na mengine kadhaa yaliyokosa ushahidi. Kuachiwa kwake kumefufua mjadala miongoni mwa Watanzania, hasa wanaokerwa na mfumo wa ucheleweshwaji wa mashauri…