JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Maelfu kunufaika na uboreshaji Mto Songwe

KYELA NA MWANDISHI WETU Bonde la Mto Songwe kijiografia lipo kusini magharibi mwa Tanzania na kaskazini mwa nchi ya Malawi, likiwa na ukubwa wa kilometa za mraba 4,243. Bonde hili linajumuisha wilaya saba; kati ya hizo wilaya tano za Kyela,…

Dakika 90 za pambano la watani

NA MWANDISHI WETU  Moja ya mechi nzuri iliyojaa ufundi mwingi na utulivu mkubwa. Ama kwa hakika mashabiki wa soka nchini wameona ukuu wa timu hizi mbili katika soka la Tanzania. Asanteni Simba na mabingwa Yanga kwa burudani nzuri ya weekend…

Chameleon adaiwa kutumia uchawi

TABORA Na Moshy Kiyungi Eti mmoja wa wanamuziki mashuhuri Afrika Mashariki, Jose Chameleon, hutumia nguvu za giza kujiimarisha kiutajiri na umaarufu. Tuhuma hizi nzito zinaelekezwa kwa mkali wa muziki wa ragga na raia wa Uganda, mtu wa kwanza kuzitoa akiwa…

Rais Samia safi TANESCO

Wiki iliyopita Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa kuboresha Shirika la Umeme nchini (Tanesco).  Amemteua Omari Issa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Tanesco. Amemteua Maharage Chande kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Tanesco. Kabla ya uteuzi huo Chande alikuwa Mkurugenzi…

Mkurugenzi Mtendaji MOI aikomboa Nyangao

Lindi Na Aziza Nangwa Uongozi wa Hospitali ya St. Walburg’s Nyangao mkoani Lindi umeamua kupeleka huduma za kibingwa za upasuaji wa mifupa baada ya kuona kuna changamoto kubwa ya huduma hiyo kutokana na ajali za pikipiki na mamba, JAMHURI limeambiwa….

Vyama vinataka madaraka, si kuikomboa jamii 

Na Nassoro Kitunda Ni dhahiri siasa zetu zimekuwa zinasukumwa zaidi na shauku ya kutafuta madaraka kuliko ukombozi wa jamii. Ndiyo maana ninakubaliana na Dk. Bashiru Ally aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) aliposema katika moja ya mihadhara…