JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Mapigano jela yaua watu 100

QUITO  Ecuador Walau watu 116 wamethibitishwa kufariki dunia kutokana na mapigano yaliyozuka ndani ya jela moja nchini Ecuador kati ya mahabusu na wafungwa wa makundi mawili hasimu. Taarifa rasmi zinataja vurugu hizo kuwa ndizo mbaya zaidi kuwahi kutokea ndani ya…

Walivyojipanga kuihujumu SGR

*Waibua hoja zilizokufa wakati wa Rais Magufuli, masilahi binafsi yatangulia *Mawaziri, makatibu wakuu wameelewa, watendaji wapingana na sheria ya ununuzi *Mkono wa Kenya watajwa katika vita ya biashara ya reli kubeba mizigo ya majirani *Yadaiwa kuna kampuni zimejipanga kushinda zabuni…

Waliofaulu vizuri wakataliwa Polisi

DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Vijana wanaotaka kujiunga na Jeshi la Polisi wamelalamika majina yao kuondolewa katika orodha kwa kile wanachokitaja kuwa ni baada ya kufaulu kwa kiwango cha daraja la kwanza na la pili katika mitihani yao ya…

Lowassa amkingia kifua Rais Samia

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, amesema anakerwa na baadhi ya wanasiasa wanaoeneza maneno ya chuki, kupalilia uhasama na kumtupia lawama zisizomhusu Rais Samia Suluhu Hassan. Kutokana na mwenendo huo, amewataka wajue kuwa wanashiriki…

Tusherehekee haki ya kupata taarifa kwa vitendo

Na Deodatus Balile Leo ni siku ya maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Haki ya Kupata Taarifa au wengine wanasema ni ‘Siku ya Haki ya Kujua’ kama inavyojulikana kwa wadau wengi duniani.  Siku hii ilitambuliwa rasmi na Umoja wa Mataifa…

Ugonjwa wa shinikizo la macho unaweza kusababisha upofu bila kuonyesha dalili

MBEYA NA MWANDISHI WETU Kutokana na ukosefu wa utaratibu wa watu kumuona daktari ili kuchunguzwa na kufanyiwa vipimo mapema (check-up), watu wengi hujikuta wakishindwa kugundulika matatizo yao mapema na kujikuta wakifika hospitalini katika hatua mbaya na za mwisho.  Ili kuthibitisha…