JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Maswali ajira Uhamiaji 

*Wananchi wahoji kwa nini kazi wapewe wenye ufaulu hafifu *Ni baada ya Jeshi la Polisi kuwakata vijana wenye Divisheni I na II DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Idara ya Uhamiaji nchini imetangza nafasi 350 za ajira kwa vijana waliomaliza…

Utata wa taalamu wa kigeni kukamatwa

DAR ES SALAAM Na Dennis Luambano Kukinzana na kugongana kwa taratibu na sheria kati ya idara mbili nyeti za serikali kumesababisha wataalamu saba kutoka nje ya nchi kufikishwa mahakamani. Kwa mujibu wa taarifa zilizolifikia gazeti hili, wataalamu hao saba waliletwa…

Barua ya wazi kwa Rais kuhusu wamachinga

DAR ES SALAAM Na Sabatho Nyamsenda Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan, Natumaini u-buheri wa afya. Karibu tena nyumbani baada ya kutoka Marekani ulikohudhuria mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA).  Natumaini umefurahi kurejea nyumbani. Shaaban Robert alighani akisema:…

Wateule wamemsusia Rais Samia mapambano ya corona

Na Deodatus Balile Tangu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, aitangazie dunia kwamba kwa sasa Tanzania imeamua kupambana na janga la corona, inavyoonekana kampeni hiyo inafanywa na Rais peke yake huku baadhi ya wateule wake wakiigiza. Hii…

Ziara ya Rais nchini Marekani, matunda yake

DAR ES SALAAM Na Abdul Dendego Ni kawaida kwa viongozi wakuu wa kitaifa kufanya ziara za kila mwaka na kuhudhuria Mkutano Mkuu wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA).  Septemba 18, 2021, Rais Samia Suluhu Hassan, ametekeleza suala hilo…

Corona yaua 700 nchini

DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Serikali imeanza kutoa takwimu za mwenendo wa ugonjwa wa homa kali ya mapafu unaosababishwa na virusi vya corona unaofahamika kwa jina la UVIKO-19, zikionyesha kuwa watu 719 wamekwisha kufariki dunia kutokana na ugonjwa huo…