JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Askari wa zamani ANC mbaroni kwa kuwateka mawaziri

JOHANNESBURG, AFRIKA KUSINI Takriban watu 56 walikamatwa katika Hoteli ya St George katika eneo la Irene, jijini Pretoria, baada ya polisi kufanikiwa kumuokoa Waziri wa Ulinzi, Thandi Modise (pichani), naibu wake, Thabang Makwetla na Waziri katika Ofisi ya Rais, Mondli…

KUMBUKIZI YA FRANCO: Kilichotundikwa na mrefu,  mfupi hawezi kukitungua

TABORA Na Moshy Kiyungi Wahenga walinena kwamba kilichotundikwa na mrefu, mfupi hawezi kukitungua. Usemi huo ulijidhihirisha baada ya mwanamuziki nguli, Franco Luambo Luanzo Makiadi, kufariki dunia mwaka 1989. Baada ya hapo bendi yake; T.P.OK Jazz, ikatoweka katika anga la muziki…

Uongozi wa soka nchini washitakiwa

Dar es Salaam NA ALEX KAZENGA Viongozi wenye jukumu la kusimamia mchezo wa mpira wa miguu nchini wameshitakiwa kwa Rais Samia Suluhu Hassan. Wanashitakiwa kwa uzembe na kukosa uwajibikaji, hali inayotajwa kuwa kikwazo kwa ustawi wa soka. Aliyefikisha mashitaka hayo…

Kutaja siku ya kifo cha Mwalimu  bila kuyaishi maono yake ni kejeli

DAR ES SALAAM Na Pawa Lufunga  Aprili 13, 1922, mtoto wa kiume alizaliwa kaskazini mashariki mwa Tanzania. Wazazi na ndugu zake hawakujua mtoto yule mdogo angekuja kuwa nani kwa taifa na duniani. Simulizi zinasema wazazi wake wakampa jina la Kambarage,…

Upepo wa kisiasa unavyowatikisa wanasiasa

DAR ES SALAAM Na Mwalimu Samson Sombi Tangu kurejea kwa mfumo wa vyama vingi nchini Julai 1992 na kufanyika Uchaguzi Mkuu wa kwanza chini ya mfumo huo mwaka 1995, kumekuwa na wimbi la wanasiasa kuhama chama kimoja na kujiunga na…

Mwelekeo mpya

*Rais Samia avunja usiri wa mikopo serikalini *Aanika kiasi ilichokopa serikali, matumizi yake *Wingi wa miradi kuchemsha nchi miezi 9 ijayo *PM asema ‘kaupiga mwingi’ 2025 – 2030 mtelezo DODOMA Na Mwandishi Wetu Rais Samia Suluhu Hassan ameweka mwelekeo mpya…