JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Hoja ya Afrika moja iliishia wapi?

DAR ES SALAAM Na Pawa Lufunga  Afrika ina historia ndefu inayohusishwa na maisha magumu kutokana na ukosefu wa siasa safi, ajira na matumizi mabaya ya rasilimali zilizopo. Maisha ya Mwafrika kijamii, kisiasa, kiutamaduni na kiuchumi ndiyo yanayoonekana duni kuliko maeneo…

Ronaldo ni msaada au mzigo Man U?

MANCHESTER, England Kabla ya wikiendi hii kufunga bao la kwanza miongoni mwa matatu katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Tottenham, mashabiki wa soka England walijiuliza maswali kadhaa kuhusu uwezo wa mwanasoka mkongwe na maarufu duniani, Cristiano Ronaldo. Akiwa na umri…

Kimobiteli: Binti wa Kizanzibari  aliyeanzia Shikamoo Jazz band

TABORA Na Moshy Kiyungi Ukitazama ghafla jukwaani unaweza kudhani kuna mtoto wa shule aliyepanda kuimba na kunengua, lakini kumbe ni mwanamuziki maarufu wa dansi nchini, Khadija Mnoga. Umbo lake dogo na sura yenye bashasha muda wote, sambamba na umahiri wake…

Wataka uwazi mikataba ya uziduaji

DODOMA Na Mwandishi Wetu Asasi za kiraia nchini (AZAKI) zimependekeza suala la uwazi wa mikataba ya sekta ya uziduaji kuwa mojawapo ya vipaumbele vya serikali wakati wa utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Tatu unaotekelezwa sasa. Pendekezo hilo…

RC ataka utafiti matumizi ya ‘salfa’

TABORA Na Tiganya Vincent Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Balozi Dk. Batilda Buriani, amezitaka taasisi za utafiti wa wadudu kuchunguza matumizi ya salfa (sulfur) wakati wa kunyunyuzia mikorosho kama haina athari kwenye ufugaji nyuki. Amesema ni muhimu ili makundi ya…

Jawabu si kuwafukuza wahuni, bali kuwakabili

Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Dar es Salaam, kinakusudia kuzuia pikipiki za miguu miwili na miguu mitatu kutofika katikati ya Jiji la Dar es Salaam. Baada ya kutolewa ilani hiyo, Mkuu wa Mkoa huo, Amos Makalla, amesimamisha kwa muda…