JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Mapinduzi ya kijeshi, ulafi wa madaraka Afrika

DAR ES SALAAM Na Mwalimu Samson Sombi Baada ya kutawaliwa kwa miaka zaidi ya 70, hatimaye nchi za Afrika zilianza kujitawala na kuunda jumuiya mbalimbali chini ya jumuiya mama, OAU na baadaye AU zenye madhumuni ya kulinda amani, umoja na…

Vijana wanaweza, urais si kwa wazee pekee

DAR ES SALAAM Na Pawa Lufunga Desturi za maisha ya jamii zinabadilika kila siku kutokana na mageuzi mbalimbali ya vitu na mazingira. Mabadiliko haya yanayochochewa na vitu vya asili na hata matendo ya binadamu huchochea pia mabadiliko katika tabia na…

Membe amwaga siri Magufuli alivyomfitini

DAR ES SALAAM Na Dennis Luambano Waziri wa zamani wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe (68), hatimaye amefichua mambo yaliyomfanya asielewane na aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano, Dk. John Magufuli. Membe ambaye ni mmoja wa…

Gambo lawamani

*Baraza la Madiwani Arusha, Mkurugenzi, Mbunge kila mtu na lake *Doita: Mbunge au diwani kutoa maelekezo nje ya vikao ni uchochezi *RC, TCCIA wasema kazi inaendelea, wakagua maeneo mapya ya wamachinga ARUSHA Na Mwandishi Wetu Utekelezaji wa agizo la Rais…

Wananchi wadhulumiwa ardhi yao na mwekezaji

• Wachomewa  nyumba, waibiwa vitu  • Polisi wahusika kusimamia uchomaji nyumba KIBAHA Na Mwandishi Wetu  Wananchi wa Lupunga, Kibaha mkoani Pwani, wameuomba uongozi wa wilaya kuingilia kati kutatua mgogoro kati yao na mwekezaji mwenye asili ya Uarabuni kabla damu haijamwagika….

Bukoba wapinga kuanzisha mkoa wa Chato

*Waeleza ilivyojinyofoa Mkoa wa Kagera mwaka 2005 *Wataka Geita ibadilishwe jina iitwe Chato kumaliza kazi Na Mwandishi Wetu, Bukoba Wabunge na wazee wa Mkoa wa Kagera wamepinga kuanzishwa Mkoa mpya wa Chato kwa kumega wilaya za Bihalamulo, Ngara na kata…