JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Misime: Waandishi wa habari wapewe mafunzo ya usalama

Msemaji wa Jeshi la Polisi, David Misime amesema “Tunasisitiza Wanahabari wapewe mafunzo ya Usalama, mfano ukiona mahali unaenda kuripoti unatakiwa kujua usimame upande gani, usisimame wapi.” Amesisitiza “Kusimama upande ambao unataka uone bomu la machozi linavyotoka ili upate picha nzuri…

Waziri Silaa akishiriki mkutano wa Wadau wa Sekta ya Habari kuelekea Uchaguzi wa 2024 na 2025

JERRY SILAA ANAZUNGUMZAWaziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry William Silaa (Mb.) anafungua mkutano kwa kusema: Napenda niwahakikishie kuwa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anatambua umuhimu wa vyombo vya habari Tanzania,…

Wazanzibar watakiwa kutumia vyoo vya kisasa

Na Haji Mtumwa, JamhuriMedia, Zanzibar Jamii visiwani humu imeaswa kutumia vyoo vya kisasa katika maeneo ya makaazi, Shule na sehemu za kijamii Ili kujikingaa na maradhi yanayoweza kuepukika. Akizungumza mara baada ya kutoa elimu hiyo ya matumizi ya vyoo vya…

RC Serukamba aiunga mkono REA ugawaji mitungi ya gesi 9800 Iringa

📌REA yahamasisha ujenzi wa vituo vidogo vya mafuta maeneo ya vijijini Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Mhe. Peter Serukamba ameunga mkono juhudi za Wakala wa Nishati Vijijini (REA) za kusambaza mitungi ya gesi ya kupikia ipatayo 9,800 mkoani humo itakayoendelea…

Waziri Kombo amwakilisha Rais Samia ufunguzi rasmi wa Mkutano wa CHOGM

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye ufunguzi rasmi wa Mkutano wa 27 wa Wakuu wa Nchi na Serikali…

Serikali yatoa akaunti maalum ya kukusanya misaada kwa waathirika Kariakoo

Serikali imesisitiza kuwa michango na misaada yoyote kwa ajili ya kusaidia waathirika wa kuporomoka kwa jengo Kariakoo jijini Dar es Salaam itafanywa kupitia akaunti maalumu ya maafa 9921159801 ambayo ipo katika Benki Kuu ya Tanzania (BoT). Katibu Mkuu Ofisi ya…