JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Bila mazungumzo ya amani  Ethiopia inaelekea kubaya

Na Nizar K. Visram Ethiopia ni moja ya nchi kubwa katika Bara la Afrika, ikiwa na wakaazi takriban milioni 115 na makabila zaidi ya 80. Aprili 2018, Abiy Ahmed, aliapishwa kuwa Waziri Mkuu wa nchi hiyo na mwaka uliofuata akatunukiwa…

Vigogo 5 wasimamishwa Dar

DAR ES SALAAM NA DENNIS LUAMBANO Vigogo watano wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam wamesimamishwa kazi kupisha uchunguzi wa ufisadi wa mamilioni ya shilingi. Tayari Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) imeanza kufanya…

Mnyeti kikaangoni

*Tume ya Haki za Binadamu yabainisha matumizi mabaya ya ofisi *Ashirikiana na mwindaji kuhujumu biashara za mwekezaji *Atuhumiwa kupokea ‘rushwa’ ya visima Uchaguzi Mkuu 2020 *Mwenyewe ang’aka, asema; ‘tusiongee kama wahuni, nendeni mahakamani’ DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Hadhi…

Mkurugenzi NIDA ang’oka

DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Hatimaye Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), Dk. Arnold Kihaule, ameng’oka katika nafasi yake. Mkurugenzi huyo ameng’oka huku kukiwa na malalamiko ya muda mrefu kutoka kwa watu mbalimbali akiwamo Spika wa…

Lipi kosa la huyu Mchina?

Tatizo letu wabongo (Watanzania) wengi tunadhani mvua inatoka juu mbinguni mawinguni kwa Mungu…hatujiulizi kwanini mvua hainyeshi jangwani au huko hakuna anga au Mungu hayupo? Maneno haya yaliwekwa na mwenzetu kwenye kundi letu la WhatsApp. Niliyapenda kwa sababu yanatafakarisha. Ni mafupi, mepesi…

Mapendekezo ya PAC yazingatiwe

Siku chache zilizopita Tanzania imekumbwa na taharuki baada ya kutangazwa rasmi kuwapo kwa mgawo wa umeme na maji katika miji na majiji kadhaa. Taarifa hii ya kushitusha imetokana na ukosefu wa mvua za vuli na za msimu zilizotarajiwa kunyesha katika…