JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Agizo la Rais Samia lawasha moto Bandari

*DG Eric asimamisha kazi wafanyakazi 13, orodha ya wahusika yatajwa Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Wiki moja baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kuagiza watu waliohusika na ununuzi wa mifumo iliyoiingiza Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) katika…

Washinikiza Sambi aachiwe

#Waandamana hadi Ubalozi wa Tanzania mjini Moroni #Ufaransa, Ulaya, Uarabuni maelfu wasaini ‘petisheni’ NA MWANDISHI WETU DAR ES SALAAM Mamia ya wananchi ndani na nje ya Muungano wa Visiwa vya Comoro wamejitokeza kushinikiza kuachiwa huru kwa aliyekuwa Rais wa Muungano…

Chupuchupu kwa Mkapa

Dar es Salaam Na Mwandishi Wetu Dakika 90 za mchezo uliokuwa ukisubiriwa kwa hamu na mashabiki wa miamba ya soka Tanzania Bara, Simba na Yanga, zimemalizika kila upande ukisema wenzao wameponea chupuchupu. Mechi hiyo iliyofanyika jioni ya Jumamosi iliyopita imemalizika…

Nashauri Aisha apewe tuzo ya kitaifa

Laiti tungekuwa tunahangaishwa na mambo serious, kwa hakika taarifa ya dada Aisha Twalibu, mlinzi wa kampuni binafsi pale Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete, ndiyo ingepamba mijadala kwenye vyombo vya habari na mitaani kwetu kote. Huhitaji kuelezwa ukweli kwamba mtu yeyote anayefanya…

Uhusiano na Kenya uwe wa kudumu, lakini… 

Wiki iliyopita Rais Samia Suluhu Hassan na Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta wamefanya mazungumzo Ikulu ya Dar es Salaam na kufikia makubaliano kadhaa muhimu kwa wananchi wa mataifa haya jirani. Mazungumzo yao yalikamilika kwa kutiliana saini mikataba minane katika nyanja…

Nyimbo mbaya habembelezewi mwana

Na Joe Beda Rupia Sina hakika kama hili bado linafanyika, lakini zamani akina mama walikuwa wakiwabembeleza watoto wao kwa kuwaimbia nyimbo. Kwa namna yoyote ile, nyimbo zilizokuwa zikitumika kuwabembeleza watoto ni lazima ziwe nzuri na za kuvutia. Nyimbo tamutamu! Ni…