JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Kasi ya maendeleo Dar es Salaam yanachangia ongezeko la mahitaji ya umeme -Kapinga

đź“Ś Serikali yajikita kufanya maboresho ya miundombinu ya umeme kukidhi mahitaji đź“Ś Kituo umeme Kinyerezi chafanyiwa upanuzi; chafungwa Transfoma za MVA 175 đź“Ś Zanzibar kunufaika na maboresho hayo Naibu Waziri wa Nishati Mhe. Judith Kapinga amesema ukuaji wa kasi wa…

Waziri Mkuu aagiza Niffer ahojiwe

Na Isri Mohamed Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ametoa maagizo kwa Jeshi la Polisi kumkamata na kumuhoji mfanyabiashara Niffer ili aeleze ni nani aliyempa kibali cha kuchangisha fedha kwa ajili ya wahanga wa ajali ya Ghorofa lililoporomoka katika soko la Kariakoo….

Misime: Waandishi wa habari wapewe mafunzo ya usalama

Msemaji wa Jeshi la Polisi, David Misime amesema “Tunasisitiza Wanahabari wapewe mafunzo ya Usalama, mfano ukiona mahali unaenda kuripoti unatakiwa kujua usimame upande gani, usisimame wapi.” Amesisitiza “Kusimama upande ambao unataka uone bomu la machozi linavyotoka ili upate picha nzuri…

Waziri Silaa akishiriki mkutano wa Wadau wa Sekta ya Habari kuelekea Uchaguzi wa 2024 na 2025

JERRY SILAA ANAZUNGUMZAWaziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry William Silaa (Mb.) anafungua mkutano kwa kusema: Napenda niwahakikishie kuwa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anatambua umuhimu wa vyombo vya habari Tanzania,…

Wazanzibar watakiwa kutumia vyoo vya kisasa

Na Haji Mtumwa, JamhuriMedia, Zanzibar Jamii visiwani humu imeaswa kutumia vyoo vya kisasa katika maeneo ya makaazi, Shule na sehemu za kijamii Ili kujikingaa na maradhi yanayoweza kuepukika. Akizungumza mara baada ya kutoa elimu hiyo ya matumizi ya vyoo vya…

RC Serukamba aiunga mkono REA ugawaji mitungi ya gesi 9800 Iringa

đź“ŚREA yahamasisha ujenzi wa vituo vidogo vya mafuta maeneo ya vijijini Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Mhe. Peter Serukamba ameunga mkono juhudi za Wakala wa Nishati Vijijini (REA) za kusambaza mitungi ya gesi ya kupikia ipatayo 9,800 mkoani humo itakayoendelea…