JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Macho, masikio kwa Polepole

Na Mwandishi Wetu Dar es Salaam Miongoni mwa makada watatu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) walioitwa kujieleza mbele ya kikao cha Halmashauri Kuu, jina la Humphrey Polepole limegonga vichwa vya watu wengi. Pamoja na kwamba Askofu Josephat Gwajima na Jerry…

Simba wanaweza kujenga uwanja wao

DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Simba wameanzisha harambee ya kujenga uwanja wao. Tayari wana kiwanja cha kufanyia mazoezi, lakini hawana kiwanja cha kuchezea mechi. Harambee iko moto mitandaoni. Mashabiki na wanachama wanachanga walichonacho katika utaratibu wa kutuma pesa uliowekwa…

Defao ‘alivyopigwa’ na wajanja

TABORA  Na Moshy Kiyungi Ukimwona kwenye runinga akinengua huwezi kuamini kwamba mwanamuziki mkongwe wa DRC, Jenerali Defao, ana zaidi ya miaka 60 sasa. Defao alizaliwa Desemba 03, 1958 Kinshasa, DRC, akiitwa Mutomona Defao Lulendo. Ni mwanamuziki mwenye kipaji cha kutunga…

Nani atuondolee uhasama wa CCM, Chadema?

MOROGORO Na Mwandishi Wetu “Ni nani atakayetuondolea lile jiwe?” Swali gumu walilojiuliza wanawake watatu wa kwenye Biblia ile siku ya kwanza ya juma walipokwenda kaburini wakiwa na nia ya kumpaka mafuta Yesu (mwili wa Yesu uliokuwa umezikwa kaburini) kukamilisha taratibu…

Wazawa wawezeshwe kumiliki migodi

Wiki iliyopita Tanzania ilipiga hatua kubwa na ya kihistoria katika sekta ya madini nchini, baada ya kushuhudiwa utiaji saini wa mikataba kati ya serikali na kampuni za kimataifa. Mikataba hiyo yenye thamani ya zaidi ya Sh trilioni 1 inatarajiwa kuchochea…

Je, Krismasi ni sikukuu ya kipagani?

MWANZA Na Mwandishi Wetu Ifikapo Desemba kila mwaka huwa kuna mabishano yanaibuka kuhusu tarehe ya Sikukuu ya Krismasi ilivyopatikana.  Mwaka 1743, Profesa Paul Jablonski, alihubiri kwamba Desemba 25 ilikuwa sikukuu ya kipagani lakini Kanisa Katoliki likaigeuza kuwa siku ya Krismasi…