JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Hali ya misitu baada ya miaka 60 ya Uhuru

Na Dk. Felician Kilahama Awali ya yote nichukue fursa hii kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa zawadi ya uhai na amani hadi kushuhudia taifa letu linaadhimisha miaka 60 tangu ‘Tanganyika’ ilipopata uhuru Desemba 9, 1961.  Kadhalika, ifikapo Aprili 26, 2022 tutafikisha miaka…

BABA GASTON Mtunzi wa ‘Kakolele’, wimbo usiochuja

TABORA Na Moshy Kiyungi Msimu wa sherehe za mwisho wa mwaka 2021 unamalizika na kama ilivyo kwa miaka mingine, zipo nyimbo kadhaa ambazo husikika zaidi nyakati hizi pekee. Mmoja miongoni mwa nyimbo hizo ni ‘Kakolele’, maarufu kama ‘Viva Krismasi’. Wimbo…

Askofu Tutu aaga dunia

JOHANNESBURG, AFRIKA KUSINI Mshindi wa Tuzo ya Amani, mpigania uhuru maarufu na mpinzani wa ubaguzi wa rangi, Askofu Mkuu Desmond Mpilo Tutu wa Afrika Kusini, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 90. Tutu, ambaye kwa miongo kadhaa alishiriki kikamilifu…

Wakulima India walivyobatilisha sheria kandamizi

Na Nizar K Visram Maandamano na mgomo wa wakulima zaidi ya 100,000 nchini India hatimaye umemalizika baada ya serikali kukubaliana na madai yao.  Wakulima hao walipiga kambi nje ya mji mkuu wa New Delhi, wakitaka serikali ibatilishe sheria tatu ambazo…

Wawekezaji waigomea Serikali

DAR ES SALAAM Na Dennis Luambano Baadhi ya wamiliki wa hoteli na ‘campsites’ zilizopo mwambao wenye urefu wa takriban kilomita saba wa Hifadhi ya Taifa ya Ziwa Manyara iliyopo jijini Arusha wamegoma kuwasilisha serikalini nyaraka zinazoonyesha umiliki wa ardhi, kibali…

MKUTANO VYAMA VYA SIASA Kamati kumaliza matatizo

DODOMA Na Mwandishi Wetu Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi, amepewa jukumu la kuunda kamati ya watu 10 kuratibu maazimio ya wadau wa siasa nchini. Amekabidhiwa jukumu hilo wiki iliyopita jijini hapa baada ya Baraza la Vyama…