JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Amuomba msaada Rais  Samia kumuondoa  aliyevamia kiwanja chake

DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Rais Samia Suluhu Hassan, nakuomba unisaidie kupata haki yangu. Mimi naitwa Frida Kyesi, ni mama mjane wa Mzee Lutengano Mwakabuta ambaye alikuwa mstaafu. Kwa sasa naishi Pugu Kajiungeni, Ilala jijini Dar es Salaam tangu…

Nani anajali ‘mfumuko wa bei’  unapoumiza wasio na kipato?

MVOMERO Na Mwandishi Wetu Tochi ya watu wasio na sauti imemulika na kubaini mfumuko wa bei katika bidhaa mbalimbali nchini na kuhoji iwapo umeachwa uendelee kwa makusudi ili uwe faida kwa wenye nacho na kilio kwa wasio nacho?  Watu wanajiuliza…

BRAZA K… Msanii wa Futuhi mwenye vituko

TABORA Na Moshy Kiyungi Kwa miaka mingi Tanzania imekuwa na waigizaji na wachekeshaji wenye vipaji tofauti vya kuvutia. Wazee wanawakumbuka watu kama Mzee Jongo, Bwana Kipara, Mzee Jangala, Bi. Hindu, Said Ngamba ‘Mzee Small’, Bi. Chau, Pwagu na Pwaguzi waliotamba…

KARIBU 2022… Leta mwarobaini vifo vya visa vya mapenzi

DAR ES SALAAM Na Mwalimu Paulo Mapunda Mwishoni mwa mwaka 2021, katika mitandao ya kijamii kulisambazwa picha zikionyesha matukio kadhaa ya watu kuuawa hasa kutokana na visa vya mapenzi.  Kulikuwa na picha za watoto watatu walionyongwa hadi kufa na mama…

‘Demokrasia’ iliyoletwa na NATO Libya

Na Nizar K Visram Uchaguzi wa Rais uliopangwa kufanyika nchini Libya Desemba 24, mwaka jana umeahirishwa ghafla baada ya Tume ya Uchaguzi kutangaza kuwa maaandalizi yaliyofanywa hayatoshi.  Tume ilitangaza siku mbili tu kabla ya uchaguzi, bila kusema sasa utafanyika lini….

Tuwatakie ndugu zetu Wakristo heri ya Krismasi na Mwaka Mpya 2022 (1)

Makala ya leo yenye anuani ‘Tuwatakie ndugu zetu Wakristo heri ya Krismasi na Mwaka Mpya 2022’ inaangazia suala lenye mitazamo miwili inayopingana katika jamii ya Kiislamu kutokana na kutofautiana rai za wanazuoni wa Kiislamu kuhusu suala hili.  Mtazamo mmoja ni…