JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Funga mwaka ya Rais Samia 

DAR ES SALAAM NA MWALIMU SAMSON SOMBI Machi 19, mwaka jana Samia Suluhu Hassan aliapishwa kuwa Rais wa Tanzania baada ya kifo cha mtangulizi wake, Rais Dk. John Magufuli, kilichotokea Machi 17, mwaka jana. Akizungumza katika hotuba yake fupi baada…

Ndugai, Kabudi ni somo jipya Tanzania

Na Deodatus Balile Leo napata tabu kuandika makala hii. Tabu ninayoipata, kumetokea mtikisiko wa ghafla ndani ya saa 72, sura ya siasa za nchi ya Tanzania zimebadilika mno. Ninaye rafiki yangu nimekumbuka maneno yake. Alipata kuniambia: “Usichezee njiti ya kiberiti,…

Yanga Princes waitazame Simba Queens

NA MWANDISHI WETU  Jumamosi ya wiki iliyopita Timu ya Yanga Princes ilicheza mechi yao ya saba dhidi ya mtani wao Simba Queens. Kilichobadilika ni idadi ya mabao waliyofungwa katika ‘derby’ zilizopita ukiachana na ile ya Desemba 12, 2020 katika Uwanja…

Spika ameondoka, hoja bado imebaki

KILIMANJARO Na Nassoro Kitunda Baada ya hoja ya aliyekuwa Spika wa Bunge, Job Ndugai, au kama ilivyoitwa kauli aliyoitoa wakati anazungumza na Umoja wa Wagogo (Wanyasi) kuhusu mikopo na kwenda mbali kutaja deni lilivyokua kwamba tunadaiwa Sh trilioni 70 na…

Kujiuzulu Ndugai ni ukomavu wa fikra

DAR ES SALAAM Na Javius Kaijage Januari 6, mwaka huu ni siku ambayo Job Ndugai alitangaza kujiuzulu nafasi yake ya uspika wa Bunge, hivyo kuandika historia mpya katika kitabu cha Tanzania. Ni historia mpya kwa maana kwamba kumbukumbu zinaonyesha kuwa…

Defao alipaswa kuwa Dar siku aliyokufa

TABORA Na Moshy Kiyungi Wiki mbili tu baada ya Gazeti la JAMHURI kuandika maisha ya mkongwe wa muziki wa Afrika na raia wa DRC, Lulendo Matumona, maarufu Le Jenerali Defao, taarifa zikasambazwa kuwa amefariki dunia. Katika toleo la gazeti hili…