JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Giza nene Ngorongoro

Na Mwandishi Wetu Wakati serikali na wadau wa uhifadhi ndani na nje ya nchi wakihaha kuikokoa Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro (NCAA) isitoweke, imebainika kuwa baadhi ya vigogo, wakiwamo wabunge, wanamiliki maelfu ya mifugo katika eneo hilo. Tayari kampeni kubwa…

Taharuki sadaka ya kuchinja 

*Mamia ya kondoo yachinjwa, wanafunzi shule za msingi walishwa nyama, wapigwa picha *Wazazi washituka, wazuia watoto wasiende shuleni wakidai ni aina ya kafara isiyokubalika *Mkuu wa Wilaya aingilia kati, aitisha kikao cha dharura Arusha Na Mwandishi Wetu Taharuki imewakumba wazazi…

Mwendokasi wanakufa na tai shingoni

Na Joe Beda Rupia Usipokuwa makini unaweza kudhani mambo ni shwari katika kampuni ya mabasi yaendayo haraka, UDART, ya jijini Dar es Salaam.  Hakuna anayesema ukweli. Hakuna anayewasemea. Hakuna anayewajali. Wadau wamekaa kimya. Wamewatelekeza na wao wenyewe ni kama wameamua…

Asante Rais Samia, Waziri Nape

Na Deodatus Balile, Zanzibar Wiki iliyopita imekuwa wiki ya furaha kwa tasnia ya habari. Ni wiki ya furaha baada ya Alhamisi iliyopita Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye, kutangaza kuyafungulia na kuyapa leseni magazeti manne; Mwanahalisi,…

Profesa Jay anastahili heshima hii

Dar es Salaam Na Christopher Msekena Wiki chache zilizopita zimekuwa mbaya kwa rapa gwiji nchini, Joseph Haule ‘Profesa Jay’, ambaye amekuwa akipatiwa matibabu ya maradhi yanayomsumbua katika Hospitali ya Taifa Muhimbili. Licha ya kuwapo kwa ufaragha wa familia kuhusu kinachomsumbua…

Kocha ‘rastafari’ aliyeibeba Senegal

*Miaka 20 tangu akose penalti fainali dhidi ya Cameroon Dakar, Senegal Aliou Cissé anasimama na kutazama pande zote za Stade du 26 Mars, moja ya viwanja vya soka vya Bamako nchini Mali, kisha anakimbia na kupiga penalti muhimu ya tano…