JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Jane: Harmonize ni mtoto wa Mungu

Dar es Salaam Na Christopher Msekena Omoyo ni miongoni mwa kadhaa nchini ambazo tangu kuwekwa kwake hadharani hazijawahi kuchuja.  Wimbo huo uliotoka zaidi ya miaka 10 iliyopita umeendelea kuwa burudani na baraka kwa mamilioni ya watu kwenye maeneo ya starehe,…

Tuunganishe nguvu kuinua utalii nchini

Kwa miaka mingi sasa sekta ya utalii nchini imekuwa ikitoa mchango mkubwa katika kuingiza pato la taifa, ambapo kabla ya dunia kukumbwa na janga la corona ilikuwa ikichangia asilimia 17.2. Mchango wa sekta ya utalii hauishii katika pato la taifa…

Kukithiri michango ya matibabu, ishara ya tatizo mfumo wa afya

Moshi Na Nassoro Kitunda Imekuwa ni kawaida sasa wananchi kuomba fedha kwa ajili ya matibabu. Afya ni huduma muhimu ambayo wananchi wanaihitaji sana. Ukipitia mitandao ya kijamii, utaona namna watu wanavyoomba kuchangiwa matibabu, na ni mamilioni ya fedha ili waweze…

Uganda yaamuriwa kuilipa DRC mabilioni

Na Nizar K Visram Mahakama ya Kimataifa (ICJ) iliyo Uholanzi imeihukumu Uganda kuilipa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC) dola za Marekani milioni 325 (sawa na zaidi ya Sh bilioni 752) kama fidia kutokana na majeshi yake kuingia DRC mwaka…

Keki ya taifa inapoipindua nchi 

DODOMA Na Javius Byarushengo  Januari 22, 2022, jeshi la Burkina Faso lilifanya mapinduzi baridi kwa kumuondoa madarakani Roch Kabore, Rais aliyechaguliwa kidemokrasia. Kama ilivyo ada, yanapofanyika mapindiuzi, hupingwa kila kona ya dunia huku Jumuiya ya Kiuchumi ya Mataifa ya Afrika…

Giza nene Ngorongoro

Na Mwandishi Wetu Wakati serikali na wadau wa uhifadhi ndani na nje ya nchi wakihaha kuikokoa Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro (NCAA) isitoweke, imebainika kuwa baadhi ya vigogo, wakiwamo wabunge, wanamiliki maelfu ya mifugo katika eneo hilo. Tayari kampeni kubwa…