JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Utata zaidi vijana watano kupotea

*Sasa imetimia siku 58 tangu watoweke *Wazazi wakanusha watoto wao kuuza dawa za kulevya *Polisi yasema inaendelea na uchunguzi DAR ES SALAAM Na Dennis Luambano Tukio la vijana watano kutoweka na kutojulikana walipo hadi sasa unaweza kusema ni kama maigizo…

Rais Samia hongera, maliza la Mbowe tugange yajayo

Na Deodatus Balile, Zanzibar Leo naandika makala hii nikiwa hapa eneo la Mlandege, Zanzibar. Nimemaliza mjadala wa kuelekea mwaka mmoja wa uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan. Mjadala huu ulihusu “Maendeleo katika Sekta ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari.”…

Mjadala matumizi ya ‘cable cars’ kufanyika mwezi ujao

DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Damas Ndumbaro, amesema wanatarajia kufanya mjadala wa matumizi ya magari ya umeme yanayopita kwenye nyaya (cable cars) kwa ajili ya kuwapandisha watalii katika Mlima Kilimanjaro. Kauli ya Ndumbaro…

Dk. Ndumbaro: Bila dhamana  ya benki hakuna kitalu 

DAR ES SALAAM NA MWANDISHI WETU Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Damas Ndumbaro, ameagiza waombaji na washindi wa mnada wa vitalu vya uwindaji wa kitalii kuhakikisha wana dhamana ya benki kabla ya kukabidhiwa vitalu. Dk. Ndumbaro ametoa maagizo hayo…

Mkakati wa siri Freemasons kuitawala dunia – (3)

Dar es Salaam                                                                           …

Waarabu walipotuonyesha walipo

DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu  Wafaransa wanatamka ‘La Norme’. Wareno wanatamka ‘Pradao’. Wahispania wanatamka ‘El standard’. Sisi Waswahili tunatamka ‘Kiwango’. Ndiyo ni kiwango! Mataifa ya Afrika Mashariki ambayo wakazi wake wengi ni wenye asili ya Kiarabu, ni mataifa makubwa…