JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Marekani: Vifaa vya simu,elekroniki vyapandishwa ushuru

RAIS wa Marekani, Donald Trump amesema  simu za mikononi  zilizotengenezwa na China na vifaa vingine vya kielektroniki havitaondolewa kwenye ushuru badala yake vimehamishiwa kwenye fungu tofauti la ushuru. Masoko ya hisa ya Ulaya yaliimarika kuanzia Jumatatu asubuhi baada ya tangazo…

Wanachama 50 wa ACT-Wazalendo wajiunga CCM Lindi

Zaidi ya wanachama 50 kutoka katika Chama cha ACT Wazalendo wamejiunga na Chama Cha Mapinduzi ( CCM) Wanachama hao wakiongozwa na aliyewahi kuwa diwani na mwenyekiti kupitia tiketi ya ACT Wazalendo, Said Kitunguli wamepokelewa na Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi…

EIB kuongeza ufadhili kwa miradi ya maendeleo nchini Tanzania

·      Yatangaza ufadhili mpya kwa miradi mitano nchini.  Benki ya Uwekezaji ya Ulaya (European Investment Bank – EIB) imeahidi kuongeza ufadhili na mikopo ya masharti nafuu kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo nchini Tanzania, ikiwa ni sehemu ya kuimarisha ushirikiano baina…

Waombwa kuchukua vitambulisho vyao NIDA

Na Aziza Nangwa, JamhuriMedia Dar es Salaam Mkurugenzi mkuu wa mamlaka ya vitambulisho nchini (NIDA) James Kaji amewataka Waandishi wa Habari ,kusaidia kutoa elimu kwa jamii kwenda kuchukua vitambulisho vyao kwa wale ambao wamepata ujumbe kutoka NIDA. Kaji ametoa wito…

Wizara ya Habari yajivunia kuimarisha upatikanaji habari na kueneza taarifa sahihi kwa wananchi

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Waziri wa Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo Prof. Palamagamba Kabudi, amesema Serikali kupitia Wizara yake imefanikiwa kuimarisha upatikanaji wa habari na kueneza taarifa sahihi kwa wananchi kupitia mikakati mbalimbali iliyotekelezwa ndani ya miaka minne ya Serikali ya Awamu…

Mwarobaini uvuvi haramu huu hapa

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mwanza Ni zama za sayansi na teknoojia. Ndio, teknolojia inapaswa kutumika katika kila eneo ilimradi tu kuleta ufanisi na kuboresha amaisha. Ni ukweli huu ndio umeifanya Wizara ya Mifugo na Uvuvi, kwa mara ya kwanza nchini,…