JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Sonona imegharimu maisha ya Rapa Riky Rick

DAR ES SALAAM Na Christopher Msekena na mitandao  Tasnia ya burudani Afrika Kusini bado imo katika simanzi ya kuondokewa na rapa mwenye mafanikio na mshindi wa tuzo mbalimbali, Riky Rick, aliyefariki dunia kwa kujinyonga Jumatano asubuhi ya wiki iliyopita. Riky…

Yaliyojiri mkutano wa EU, AU Ubelgiji

Na Nizar K Visram Wakuu wa nchi za Umoja wa Ulaya (EU) na Umoja wa Afrika (AU) walikutana mjini Brussels, Ubelgiji, Februari 17 na 18, mwaka huu.  Viongozi 40 wa nchi na serikali za Afrika na viongozi 27 wa Ulaya…

Ndoa kuvunjika si sababu ya kukosa mgawo wa mali

NA BASHIR YAKUB Watu wengi wamekuwa wakijiuliza ikiwa mmoja wa wanandoa aliyesababisha ndoa kuvunjika kama anastahili mgawo wa mali. Mfano, mwanamke katika ndoa anaanzisha chokochoko makusudi ili ndoa ivunjike apate mgawo wa mali ili aendelee na maisha yake.  Au mwanamume…

Ufaulu Hisabati bado ni tatizo

DAR ES SALAAM Na Mwalimu Samson Sombi Mchakato wa utekelezaji wa sera ya Tanzania ya viwanda unapaswa kuanzia shuleni na vyuoni kwa kuwaandaa wahitimu katika ngazi mbalimbali za elimu. Ni lazima kutekeleza sera hiyo kwa vitendo baada ya  mafunzo na…

Mkakati wa siri Freemasons kuitawala dunia – (4)

DAR ES SALAAM  Na Mwalimu Paulo Mapunda Hapo zamani Mungu alikwisha kufunua kupitia ndoto ya Nebukadreza, Mfalme wa Babeli (The King of the Ancient Mesopotamia) iliyotafsiriwa na Daniel, Nabii (Daniel 2:44, 45) kwamba utawala wa Mungu ndio utakaosimama mwisho baada…

Ngorongoro, Loliondo sasa hakuna namna

NGORONGORO NA MWANDISHI WETU Kutokana na hali mbaya ilivyo katika Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro (NCAA) na Pori Tengefu la Loliondo (LGCA), serikali haina namna nyingine isipokuwa kuchukua uamuzi mgumu wa kuyanusuru maeneo hayo.  Ndani ya wiki moja,…