JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Mkakati wa siri Freemasons kuitawala dunia – (6)

Dar es Salaam     Na Mwl Paulo S. Mapunda Novemba 2019 viligundulika virusi vinavyosababisha ugonjwa wa corona nchini China. Kwa mujibu wa takwimu za Shirika la Afya Duniani (WHO), tangu wakati huo hadi sasa inakadiriwa kuwa zaidi ya watu milioni tano…

Urusi balaa

*Yaendeleza ubabe Ukraine mataifa yakishuhudia *Putin atishia kutumia silaa za nyuklia, aonya vikwazo *Majeshi yake yadhibiti mtambo muhimu wa nyuklia Ukraine *Waharibu mitambo kitengo cha ujasusi, maghala ya silaha Dar es Salaam Na Mwandishi Wetu Urusi ni balaa. Ni maneno…

RIPOTI MAALUMU Majangili wabuni mbinu mpya

*Wavutiwa na idadi kubwa ya wajane kando ya Hifadhi ya Serengeti  *Wawatumia wajane hao, ‘nyumbantobhu’ kuhifadhi nyara, zana *Mjane ahoji; ‘kiherehere cha nini ilhali bwana wangu haibi mali ya mtu ila nyara za Serikali?’ Mara Na Antony Mayunga  Wakati serikali…

Kilio cha Rais Sambi kuachiwa charindima

NA MWANDISHI WETU Mwakilishi wa Umoja wa Afrika (AU) nchini Comoro ameingilia kati mgogoro wa kuwekwa kizuizini kwa Rais mstaafu wa Visiwa vya Comoro, Ahmed Abdallah Mohamed Sambi. Mwakilishi huyo, Hawa Youssouf, amemtembelea Rais mstaafu Sambi kizuizini alikowekwa kwa amri…

Vitalu vya uwindaji yale yale

DAR ES SALAAM NA MWANDISHI WETU Ugawaji wa Vitalu vya Uwindaji wa Kitalii kwa njia ya kielektroniki umelalamikiwa na sasa baadhi ya wadau wenye tasnia hiyo wameshauri mnada urejewe. Wanasema kurejewa huko si tu kwamba kutakuwa ni kuwatendea haki waombaji…

Rais Samia, kuachiwa Mbowe na Urusi

Na Deodatus Balile Wiki iliyopita ilikuwa na matukio mengi, ila nitayagusia makubwa machache. Kwanza nianze la kesho Jumatano, Machi 9, 2022 ambapo Jukwaa la Wahariri Tanzania litakuwa linafanya Mkutano Mkuu wa Mwaka wa 2022.  Huu mkutano utahusisha wahariri zaidi ya…