JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

SIKU YA WANAWAKE Binti mwendesha mitambo avutia wengi

ARUSHA Na Zulfa Mfinanga Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani (IWD) hufanyika Machi 8 ya kila mwaka tangu yalipoanza kuadhimishwa kimataifa mwaka 1911. Ni zaidi ya miaka 25 sasa tangu kufanyika kwa Mkutano wa Beijing ulioweka bayana makubaliano ya msingi…

Yawaze maisha ya Simba,  Yanga bila ‘Abramovich’ 

Dar es Salaam NA MWANDISHI WETU  Mashabiki wa soka duniani wanafahamu kwamba kwa sasa Klabu maarufu ya Chelsea ya Uingereza inapita katika wakati mgumu sana.  Wanakopita Chelsea kwa sasa kunafahamika kwa Kiitaliano kama ‘Vea De ra Rosa’ (yaani njia ya…

‘Serengeti Festival yabadili sura Bongo Fleva’

DAR ES SALAAM Na Christopher Msekena Mwishoni mwa wiki jijini Dodoma lilifanyika tamasha kubwa la Serengeti, lililofanikiwa kukata kiu ya mashabiki na wapenzi wa Bongo Fleva kwa siku mbili mfululizo (Jumamosi na Jumapili). Tamasha hilo limefanyika katika msimu wa pili…

Tafsiri halisi Mbowe kufutiwa mashitaka

Na Bashir Yakub Nimemsikia Mwenyekiti wa Chama cha Dermokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, akisema kuwa hakutaka kufutiwa mashitaka bali alitaka kesi ifike mpaka mwisho (yaani hukumu). Yawezekana anasema hivyo kutokana na sababu ya tafsiri halisi ya kufutiwa kwake mashitaka. …

UJUMBE WA KWARESMA ‘Tunawasihi kwa jina lake Yesu Kristo, mpatanishwe na Mungu’

Wapendwa Taifa la Mungu,   Hii ni aya ambayo inahitimisha sura ya tano ya waraka wa pili wa Mtume Paulo kwa Wakorintho. Katika sura hii, Mtume Paulo ametoa maelezo mbalimbali kumhusu Kristo na mwishoni anahitimisha na kumsihi kila mmoja ajitahidi kupatanishwa na Mungu. Mwaliko…

Tutapiga hatua muhimu kuandaa kanuni za mikutano ya hadhara

Tutapiga hatua muhimu kuandaa kanuni za mikutano ya hadhara Rais Samia Suluhu Hassan ametoa agizo kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu na Bunge, Dk. Pindi Chana, kuandaa kanuni zitakazoelekeza jinsi ya kufanya mikutano ya hadhara ya…