JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Asante sana Dk. John Magufuli

Na Samwel Kasori CHATO Alhamisi ya Machi 17, mwaka huu ni mwaka mmoja tangu nchi yetu iondokewe na Rais wa Awamu ya Tano, Dk. John Pombe Joseph Magufuli. Hiki ni kipindi cha kutafakari mambo mengi, hususan jinsi Dk. Magufuli  alivyojitoa…

Usiyapoteze machozi yako

Na Padri Dk. Faustin Kamugisha Ukimpiga mbwa viboko vitano na binadamu viboko vitano, binadamu anaumia sana kuzidi mbwa kwa sababu binadamu analeta mateso aliyoyapata wakati huu, na aliyoyapata zamani na atakayoyapata; anaumia sana. Anatoa machozi.  Msemo wa kuwa ‘wafalme hawalii’…

Ukifika Kojani, utatokwa machozi

PEMBA Na Yusuph Katimba Nenda uendako, lakini ukifika katika Kisiwa cha Kojani, kilichopo Mkoa wa Kaskazini Pemba, utastaajabu maisha yao, kama si kuugumia maumivu, basi unaweza kumwaga machozi. Ukiwa kwa mbali, fikra za haraka unaweza kudhani Kojani ni kisiwa kilichohamwa,…

Vita ya Ukraine ni neema kwa kampuni za mafuta

Na Nizar K Visram Baada ya Urusi kuishambulia Ukraine, Marekani na Umoja wa Ulaya (EU) wakatangaza vikwazo dhidi ya Urusi, lengo likiwa ni kuibana isiweze kuuza bidhaa zake kama mafuta na gesi katika soko la Ulaya na kwingineko. Urusi ni…

Hongera Rais Samia Suluhu Hassan

Rais Samia Suluhu Hassan ametimiza mwaka mmoja tangu alipoapishwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kifo cha Dk. John Magufuli. Taifa, kama familia, linapoondokewa na kiongozi mkubwa kwa kawaida huibuka shaka na sintofahamu miongoni mwa wananchi….

Watu wasilazimishwe kulala mapema

Nianze kwa kumpongeza kiongozi wetu Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Rais Samia Suluhu Hassan, kwa kutimiza mwaka mmoja madarakani. Mwaka mmoja ni muda mfupi, lakini kiongozi wetu amethibitisha nia yake njema ya kuwa na Tanzania yenye…