JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Utaratibu wa kisheria kununua ardhi bila migogoro, utapeli

Na Bashir Yakub Tunazo aina kuu mbili za ardhi. Ardhi iliyosajiliwa na ambayo haikusajiliwa. Yote maana yake ni viwanja, nyumba na au mashamba. Ardhi iliyosajiliwa ni ile iliyopimwa au maarufu kama ardhi yenye hatimiliki, wakati ambayo haikusajiliwa ni kinyume cha…

Urusi ngangari

*Yatikisa uchumi wa Marekani kwa ngano, mafuta *Ujerumani yakalia kuti kavu, uchumi hatarini kuporomoka *Bara la Ulaya linategemea gesi kwa asilimia 40 *Putin abadili gia, auza gesi kwa Ruble, hisa zake zapanda DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Wakati Rais…

Mwelekeo mpya siasa wanukia

DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu    Mapendekezo ya kikosi kazi cha kuratibu maoni ya wadau wa demokrasia ya vyama vingi vya siasa huenda yakafanikisha kuleta mwelekeo mpya wa mwenendo wa siasa za hapa nchini. Baada ya Rais Samia Suluhu Hassan…

Benki yadaiwa kugeuka mumiani

*Yajipanga kuipiga mnada ‘nyumba ya Serikali’ *Ni kinyume cha vipengele vilivyowekwa kisheria *Mfanyabiashara adai mkopo wageuzwa ndoana DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Nyumba iliyokuwa ikimilikiwa na serikali imo hatarini kupigwa mnada kwa kile kinachodaiwa kuwa mmiliki wake kushindwa kulipa…

Ofa ya Rais yapokewa tofauti

DAR ES SALAAM  Na Aziza Nangwa Kauli ya ofa iliyotolewa wiki iliyopita na Rais Samia Suluhu Hassan kwa wapangaji wa Magomeni Kota imepokewa kwa mitazamo tofauti; JAMHURI limeambiwa. Akizungumza na wananchi wakati wa uzinduzi wa nyumba za Magomeni Kota wiki…

Wanaharakati Afrika wakutana  Dakar kuizungumzia Palestina

Na Nizar K Visram (Canada) Machi 10 hadi 12, mwaka huu wanaharakati kutoka nchi za Afrika wamekutana Dakar, Senegal.  Hawa ni wawakilishi wa makundi kutoka Botswana, Cameroon, Cote d’Ivoire, DR Congo, Gambia, Ghana, Guinea-Bissau, Mauritania, Morocco, Msumbiji, Namibia, Tunisia,  Zambia,…