JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Tumechagua kuishi kinafiki na Manula

DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu  Umewahi kumshuhudia Aishi Manula akiwa na siku mbaya ofisini kwake, yaani katika lango la Simba au Taifa Stars? Kwa hakika huwa anatia huruma. Ngoma za masikio yake hupokea kila neno chafu kutoka kwa mashabiki….

Kombe la Dunia Qatar 2022

Tayari mataifa yatakayoshiriki fainali za Kombe la Dunia huko Qatar baadaye mwaka huu yamekwisha kufahamika, huku nafasi chache zilizosalia zikitarajiwa kujazwa Juni 13 na 14 mwaka huu katika hatua ya mchujo (inter-confederation play-offs); pamoja na mechi kati ya Ukraine na…

Urusi haiepukiki

*Mataifa yanayochimba mafuta yapuuza maagizo ya Marekani RIYADH Saud Arabia Leo ni siku ya 40 tangu Rais wa Urusi, Vladimir Putin, alipotangaza na kuanzisha kile anachokiita ‘Operesheni ya Kijeshi’ nchini Ukraine; huku jumuiya ya kimataifa ikikitafsiri kama ni uvamizi wa…

Kigugumizi cha nini Katiba mpya?

MOROGORO Na Everest Mnyele Wakati mwingine huwa ninajiuliza, nini sababu ya kigugumizi kwa Watanzania, hasa viongozi kuhusu Katiba mpya wakati rasimu tunayo?  Rasimu hiyo imetokana na mawazo au maoni ya wananchi yaliyokusanywa na Tume ya Warioba iliyoteuliwa na Rais wa…

Pumzika Sheikh Abeid Amani Karume

Alhamisi hii Tanzania inafanya kumbukizi ya kifo cha Rais wa Kwanza wa Zanzibar, mwanamapinduzi Sheikh Abeid Amani Karume, ambaye sasa anatimiza miaka 50 tangu alipouawa kwa kupigwa risasi Aprili 12, 1972. Huo ndio uliokuwa msiba wa kwanza mzito kwa taifa…

Utaratibu wa kisheria kununua ardhi bila migogoro, utapeli

Na Bashir Yakub Tunazo aina kuu mbili za ardhi. Ardhi iliyosajiliwa na ambayo haikusajiliwa. Yote maana yake ni viwanja, nyumba na au mashamba. Ardhi iliyosajiliwa ni ile iliyopimwa au maarufu kama ardhi yenye hatimiliki, wakati ambayo haikusajiliwa ni kinyume cha…