JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Biden aamua ‘kudhulumu’ fedha za Afghanistan 

Na Nizar K Visram (aliyekuwa Canada) Februari 11, mwaka huu Rais wa Marekani, Joe Biden, alitoa amri ya kutaifisha dola bilioni saba za Afghanistan zilizokuwa zimewekwa Marekani kama amana katika benki kuu.  Alisema kati ya fedha hizo dola bilioni 3.5…

Dosari mojawapo Mkutano Mkuu wa CCM

Na Joe Beda Rupia Mkutano Mkuu Maalumu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) umefanyika jijini Dodoma wiki iliyopita. Ndiyo. Hili ni miongoni mwa matukio ambayo sisi wana habari hulazimika kuyafuatilia. Ni tukio kubwa nchini kwa kuwa hukusanya watu kutoka kila pembe…

Upekee wa mwezi wa Ramadhani na fadhila zake

Leo Jumanne Aprili 05, 2022, ni tarehe 3 Ramadhani (Mwezi wa 9 kwa Kalenda ya Kiislamu inayoanza Mwezi Muharram – Mfungo Nne) Mwaka 1443 Hijiriyya (toka kuhama kwa Mtume Muhammad –Allah Amrehemu na Ampe Amani – kutoka Makkah kwenda Madinah), kwa…

Nini chimbuko mabadiliko ya tabianchi?

DAR ES SALAAM Na Dk. Felician B. Kilahama Awali ya yote nichukue fursa hii kumshukuru Mwenyezi Mungu ambaye ni Alfa na Omega kwa zawadi ya uhai; si kwamba sisi ni wema kuliko waliopoteza maisha; bali ni kwa neema na rehema…

Aibu hii Katavi ni ya kudumu?

KATAVI Na Walter Mguluchuma Ajenda ya ajira kwa watoto imekuwa ikisumbua vichwa vya wengi duniani na mara kwa mara hujadiliwa kwenye vikao vizito vya kitaifa na kimataifa. Umoja wa Mataifa (UN) unapinga ajira kwa watoto na ipo mikataba na makubaliano…

Kwaheri! Kwaheri! Profesa Ngowi

DODOMA Na Profesa Handley Mafwenga Profesa Honest Prosper Ngowi, mwanafalsafa wa uchumi uliyebarikiwa na Mungu, uliyebarikiwa na ndimi njema za wanazuoni waliopenda maandiko yako, na kupendezewa na ulimi wako uliotema ubora wa masuala ya uchumi, fedha, na biashara. Profesa usiyechoka,…