JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

CCM yasambaza viongozi na makada waandamizi nchi nzima

Ni uzinduzi wa kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Katibu Mkuu Balozi Nchimbi kuongoza kampeni hizo Yaonesha umuhimu wa uchaguzi na dhamira ya kufikia wananchi moja kwa moja Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John…

Stars leo afe kipa, afe beki..

Na Isri Mohamed Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) leo Novemba 19, 2024 itashuka dimbani Benjamin Mkapa kwenye mchezo wa mwisho wa kuwania kufuzu kombe la Mataifa Afrika AFCON 2025 dhidi ya Guinea utakaopigwa saa kumi jioni. Stars ambayo…

President Samia poses tough questions at G20

By Deodatus Balile, Rio de Janeiro, Brazil President Samia Suluhu Hassan delivered a historic speech at the G20 Summit, posing tough questions to world leaders including U.S. President Joe Biden, Chinese President Xi Jinping, UK Prime Minister Keir Starmer, and…

Dawa maarufu ya kupunguza uzito yaanza kuuzwa China

Kampuni ya Novo Nordisk imezindua dawa yake ya kupunguza uzito ya Wegovy nchini China baada ya kuidhinishwa na mamlaka ya afya mwezi Juni. Zaidi ya watu milioni 180 wanaishi na uzito wa kupindukia nchini China, ambayo ina idadi ya watu…

Maaskofu wa Kanisa Katoliki wakataa mchango wa Ruto

Jimbo kuu la Kanisa Katoliki Nairobi limesisitiza kujitolea kwake kuzingatia sera ya Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki nchini Kenya (KCCB) kuhusu michango ya kisiasa kanisani. Hapo juzi, Jimbo Kuu lilitangaza kukataliwa kwa michango kadhaa iliyotolewa katika Kanisa Katoliki la…

Ulaya: Tutaongeza juhudi za kuzisaidia nchi masikini

Mjumbe wa Umoja wa Ulaya anayeshughulikia maswala ya mabadiliko ya tabia nchi Wopke Hoekstra amesema jumuiya hiyo itaongoza katika kutoa fedha kwa nchi masikini kupambana na ongezeko la joto duniani. Hoekstra, amesema hayo leo Jumatatu na kuongeza kuwa nchi zote…