JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

BAADA YA UHASAMA…   Mgodi waja na suluhu, maridhiano

*Waunda mfumo huru kusikiliza malalamiko ya wananchi, waathirika kujenga ‘Mwadui Mpya’ SHINYANGA Na Antony Sollo  Kampuni ya Petra Diamond Limited (PDL) inayochimba almasi Mwadui, Wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga, imeanzisha mfumo utakaomaliza migogoro ya muda mrefu na jamii inayoizunguka. Uanzishwaji…

CWT: Makubwa yamefanywa kwa mwaka mmoja

*Kaimu Rais afurahia walimu kupandishwa madaraja, ajira mpya *Baada ya madarasa, aiomba Serikali sasa kugeukia nyumba za walimu *Katibu Mkuu: Wingi wa walimu umepunguza mzigo wa ufundishaji *Atoa wito kwa walimu akisema: Sasa twendeni tukachape kazi  DODOMA Na Mwandishi Wetu…

MOI kufuta ulemavu kwa watoto wenye vichwa vikubwa, mgongo wazi

*Wawaomba wadau kuchangia  Sh milioni 800 kwa mwaka kufanikisha DAR ES SALAAM Na Aziza Nangwa Taasisi ya Mifupa Muhimbili (MOI) inatarajia kufuta tatizo la watoto wanaozaliwa na vichwa vikubwa na migongo wazi kwa kuwafanyia upasuaji wa kuwawekea vipandikizi. Akizungumzia tatizo…

Hapi, Waitara wanyukana

*Hapi: Hii ni vita, mimi mtoto  wa mjini wameshindwa kunizunguka  *Asema kelele ni nyingi kwa kuwa ameziba mirija ya wizi *Waitara: Siogopi kifo kiwe cha risasi au sumu, Wakurya si ‘maboya’ *Asema RC hana mamlaka ya kuvunja CDC, adai amefanya…

TEMESA katikati ya dimbwi la lawama

*Wananchi wadai kuna vivuko vinaendeshwa kama mali binafsi *Abiria walazimika kumsubiri mkatisha tiketi kwanza apeleke fedha benki  DAR, UKEREWE Na Waandishi Wetu Baadhi ya watumiaji wa Kivuko cha MV Ujenzi kinachotoa huduma kati ya Kisorya, Bunda na Ngoma wilayani Ukerewe,…

Simba inakaba hadi kivuli

Yanga dk 90 bila shuti golini Na Andrew Peter Dar es Salaam  Yanga imeweka rekodi mpya ikicheza dakika 90 bila kupiga shuti hata moja lililolenga goli wakati walipolazimishwa suluhu na watani wao Simba kwenye Uwanja wa Mkapa mwishoni mwa wiki….