JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Bunge linaweza kunusuru ugumu wa maisha

Leo Bunge linatarajiwa kupokea tamko la serikali kuhusu bei ya nishati ya mafuta ya petroli ambayo kupanda kwake kumesababisha mfumko mkubwa wa bei kuwahi kulikumba taifa na hata dunia katika siku za karibuni. Uamuzi uliochukuliwa na Bunge wiki iliyopita kujadili…

NATO: Chombo cha Marekani, kutekeleza sera zake duniani

Na Nizar K Visram NATO ni muungano wa kijeshi wa mataifa ya Ulaya na Marekani ulioundwa kwa madhumuni ya kulindana iwapo taifa moja litashambuliwa kutoka nje. Uliasisiwa chini ya mkataba wa Washington uliosainiwa na mataifa 12 Aprili 1949. Mataifa yenyewe…

Jbwai wa Canada azungumzia ‘Certified’

DAR ES SALAAM Na Christopher Msekena Bara la Afrika halijawahi kukaukiwa na vijana wenye vipaji wanaofanya shughuli za usanii na sanaa ndani na nje ya bara hili, huku wakifikia hatua mbalimbali za mafanikio. Miongoni mwa vijana hao ni Michael Baiye,…

Mtazamo kuhusu ‘Royal Tour’ (1)

DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Juni 27, 2004 nilifanikiwa kukutana na Peter Greenberg, mtayarishaji wa kipindi cha televisheni cha ‘The Royal Tour’ na kuzungumza naye mambo mengi kuhusu kipindi hicho na uzoefu wake kama mwanahabari, ‘producer’ wa utalii duniani…

Namna ya kumbana Bodaboda, Bajaj, teksi kuleta hesabu

NA BASHIR YAKUB  Si siri, wengi waliowekeza kwenye biashara ya Bajaj, Bodaboda, teksi na hata daladala wamejuta kufanya hivyo. Wengi wameingia hasara na mambo hayakuwa kama walivyotarajia.  Na niamini, waliomo leo kwenye hiyo biashara si wale walioanza, bali ni wageni, kwani walioanza…

KUELEKEA UCHAGUZI MKUU KENYA  Mgombea mwenza pasua kichwa 

MOMBASA Na Dukule Injeni Wagombea urais katika Uchaguzi Mkuu wa Kenya unaotarajiwa kufanyika Agosti 9, mwaka huu wamepewa hadi Jumatatu ya Mei 16 wawe wameshawasilisha majina ya wagombea wenza Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC).  Licha ya msururu wa…