Author: Jamhuri
Polisi yawashikilia Diva, Niffer kwa tuhuma za kuchangisha fedha kwa waathirika wa Kariakoo
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam JESHI la Polisi linawashikilia kwa mahojiano ya kina Diva Malinzi (36) na Jennifer Jovin (25) maarufu kama Niffer kwa tuhuma za kuchangisha fedha kwa ajili ya walioporomokewa na jengo Kariakoo. Novemba 26, 2024…
Mgombea wa upinzani atangazwa mshindi wa urais Somaliland
Katika uchaguzi mkuu wa urais uliofanyika Novemba 13 nchini Somaliland, kiongozi wa upinzani Abdirahman Mohamed Abdullahi, maarufu kama “Irro”, ameibuka mshindi baada ya kupata asilimia 63.92 ya kura zote. Karibia watu milioni 1.2 walijitokeza kupiga kura, na zoezi hilo lilielezewa…
Tanzania, Uturuki kushirikiana sekta ya Maliasili na Utalii
Na Happiness Shayo, JamhuriMedia, Dar es Salaam Serikali ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania na Uturuki zimekubaliana kushirikiana kukuza Sekta ya Maliasili na Utalii lengo ikiwa ni kuongeza idadi ya watalii wanaotembelea nchi hizo mbili. Hayo yamebainika leo Novemba 19,2024…
Mkutano wa COP29 waleta neema Tanzania
Mkutano wa 29 wa nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (COP-29) umeendelea kuiletea manufaa Tanzania hususan katika hifadhi ya mazingira. Hayo yameelezwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira…
Waziri Bashungwa aiagiza TANROADS kufunga mizani mitatu Tunduma, ashuhudia foleni ya malori
Na Mwandishi wetu, JamhuriMedia, Songwe 📌 Ashuhudia foleni kubwa ya Malori Tunduma 📌 Atoa mwezi mmoja ujenzi wa kituo cha maegesho Chimbuya kukamilishwa 📌 Aagiza upembuzi kufanyika ili kujenga barabara ya Mchepuo, magari yanapita kwa kupokezana Waziri wa Ujenzi, Innocent…
Mtendaji wa kijiji jela miaka 20 kwa kosa la uhujumu uchumi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Songwe Mahakama ya Wilaya ya Songwe imemhukumu Bw. Assan Jacob Kalinga aliyekuwa Mtendaji wa Kijiji cha Mbuyuni H/W ya Songwe, adhabu ya kwenda Jela miaka Ishirini (20). Adhabu hiyo imetolewa kwa Kosa la ufujaji na ubadhirifu…