JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Kwa nini kigugumizi Ngorongoro, Loliondo?

Hivi karibuni kumezinduliwa sinema ya Tanzania Royal Tour. Ni sinema nzuri ingawa dosari kubwa niliyoiona ni kukosekana kwa vivutio vya utalii vingi zaidi. Mathalani, ni dosari kubwa ya kiufundi kwenye sinema hiyo kutoonyesha nyumbu wanavyosafiri au wakati wakiwa wamejaa na…

KUELEKEA UCHAGUZI MKUU KENYA Ruto apangakufanya aliyoyakataa BBI

MOMBASA Na Dukule Injeni  Masilahi ndicho kitu kinachowaleta wanasiasa pamoja na ndivyo ilivyo hususan kipindi hiki ambapo vyama vinaungana kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Kenya unaotarajiwa kufanyika Agosti 9, mwaka huu.  Licha ya uwepo wa wagombea huru zaidi ya 40 wanaowania…

Fisi mla watu akamata mtoto wa 28

KARATU Na Bryceson Mathias Mtoto mwenye umri wa miaka minne, Asteria Petro, amejeruhiwa na fisi katika Kata ya Basodawish, Karatu mkoani Manyara, akiwa ni wa 28 kukumbwa na kadhia hiyo, hivyo kuzua hofu miongoni mwa wananchi. Taarifa zinasema kwamba fisi…

Tunajifunza nini kutoka Chadema?

MOROGORO Na Everest Mnyele Wiki iliyopita Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimewafuta rasmi uanachama wabunge 19 wa Viti Maalumu.Hebu kwanza tujifunze maana ya chama cha siasa. Kwa lugha rahisi, chama cha siasa ni muungano wa watu wenye itikadi moja…

Barua ya wazi kwa Waziri wa Mambo ya Ndani

Kwako Mheshimiwa Hamad Yusuf Masauni (MB) Waziri wa Mambo ya Ndani. Pole kwa kazi na ninakusalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.  Kwanza ninakupongeza kwa Rais Mama Samia Suluhu Hassan kukuamini na kukuteua kuwa msaidizi wake kuongoza wizara…

Baada ya mshahara, sasa chapeni kazi

Wiki hii serikali imetangaza kukubali maombi ya Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA) ya kupandisha kima cha chini cha mishahara kwa wafanyakazi wa umma nchini. Haya ni maombi ya muda mrefu na mara kwa mara serikali imekuwa ikishindwa kuyatekeleza…