JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Brela ikabidhiwe kazi ya kutoa leseni zote

Na Deodatus Balile, Morogoro Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (Brela) umetoa taarifa muhimu kwa maendeleo ya biashara nchini katika mkutano na Jukwaa la Wahariri Tanzania.  Mtendaji Mkuu wa Brela, Godfrey Nyaisa, ameeleza mfumo wa kusajili biashara kupitia mtandaoni…

WAGOMBEA WENZA: Ni uteuzi wa kimkakati

MOMBASA Na Dukule Injeni Hatimaye wagombea urais, hususan wa muungano wa Azimio la Umoja One, Kenya Alliance na Kenya Kwanza wameteua wagombea wenza siku chache tu kabla ya Mei 16, mwaka huu, iliyotengwa na Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka…

Ni mshikemshike Liverpool, Real Madrid

PARIS, UFARANSA Liverpool inalitaka taji la saba la Ulaya pamoja na kulipa kisasi cha fainali ya Ligi ya Mabingwa 2018 dhidi ya Real Madrid inayosaka kombe lake la 14 la mashindano hayo makubwa zaidi kwa klabu barani humo. Liverpool watakuwa…

Ni kilimo cha ‘kufa’ tu au ‘kufa na kupona’?

Na Joe Beda Rupia Nimewahi kuhoji katika safu hii miezi kadhaa iliyopita iwapo kilimo bado ni uti wa mgongo wa taifa letu. Hakukuwa na majibu ya moja kwa moja. Kilimo. Kilimo. Kilimo. Kimekuwa kikiambatana na kaulimbiu mbalimbali, lakini kwa hakika…

Utaratibu kupima DNA huu hapa

NA BASHIR YAKUB Hauna haja ya kuvutana na mtu kuhusu iwapo wewe ni baba wa mtoto au hapana. Nimesema baba kwa sababu wasiwasi wa aina hii mara zote upo kwa wanaume. Kuwa fulani ni mama wa fulani karibia mara zote…

Samia atafuna mfupa wa mishahara mipya

Samia atafuna mfupa wa mishahara mipya DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Hatimaye Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan imeongeza mishahara ikiwamo kima cha chini kwa watumishi wa umma kwa asilimia 23.3. Kwa mujibu wa taarifa kwa vyombo vya habari…