JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Taifa Stars kujiuliza kwa Algeria

Dar es Salaam Na Mwandishi Wetu Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, itakuwa na kibarua kizito mbele ya Algeria katika mchezo wake wa pili wa Kundi ‘F’ wa kusaka kufuzu kwa fainali za Mataifa ya Afrika 2023, Ivory Coast….

Nini anatakiwa kukifanya ‘Mo’?

DAR ES SALAAM Na Andrew Peter Bilionea na Mwenyekiti wa zamani wa Bodi ya Wakurungezi wa Simba, Mohammed ‘Mo’ Dewji, ameandika katika ukurasa wake wa ‘twiter’: “Tunasafisha kila sehemu ambayo inahitaji kuwekwa sawa ili turudi kwenye ubora wetu #nguvu moja.”…

Rais Samia LNG ni dili, tusaini

Na Deodatus Balile Wiki iliyopita zimekuwapo taarifa za Tanzania kuwa katika mchakato wa kusaini mkataba wa kuanza ujenzi wa kiwanda cha kuzalisha gesi ya LNG mkoani Lindi. Mkataba wenyewe ni wa dola bilioni 40, karibu Sh trilioni 70 za Tanzania. …

Jeshi la Polisi tena

*Mwanafunzi wa Chuo Kikuu nusura afie kituoni *Adaiwa kupigwa na askari kwa zaidi ya saa nne *Ni baada ya mjomba wake kumtuhumu kumwibia zawadi ya ‘birthday’ Mwanza Na Mwandishi Wetu Miezi michache baada ya kuandikwa kwa taarifa za kifo cha…

Mkandarasi mwendokasi pasua kichwa

DODOMA Na Mwandishi Wetu Mbunge wa Ukonga (CCM), Jerry Silaa, amelia bungeni wakati akihoji kwa nini Kampuni ya Syno Hydro inapewa zabuni za kujenga miradi mbalimbali ukiwamo wa barabara ya mwendokasi kutoka Kariakoo hadi Gongo la Mboto jijini Dar es…

Uongo wa Katibu Mkuu TALGWU

Asema ununuzi wa gari lake ulifuata taratibu wakati haukufuata DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Katibu Mkuu wa Chama cha Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa (TALGWU) Taifa, Rashid Mtima, ametoa taarifa zisizo sahihi baada ya kukanusha kuhusu Sh bilioni 1.1…