JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Wadau wataka maboresho Sheria ya Habari

Na Alex Kazenga Dar es Salaam Wadau wa tasnia ya habari wanaiomba serikali kuitazama upya Sheria ya Habari huku wakipendekeza kuwapo kwa chombo kitakachosimamia tasnia hiyo. Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile, amebainisha hayo hivi karibuni katika…

Watanzania tuchangamkie fursa mradi wa gesi asilia

Rais Samia Suluhu Hassan ameshuhudia utiaji saini Makubaliano ya Awali ya Mkataba wa Nchi Hodhi (HGA) Mradi wa Kuchakata na Kusindika Gesi Asilia (LNG Project). Makubaliano hayo kati ya serikali na kampuni za Shell na Equinor yametiwa saini Juni 11,…

Gari la Katibu Mkuu TALGWU kimeo

*Limenunuliwa kwa Sh milioni 180 *Lilipokatiwa bima nyaraka inaonyesha      limenunuliwa kwa Sh milioni 70   DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Gari analolitumia Katibu Mkuu wa Chama cha Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa (TALGWU) Taifa, Rashid Mtima, kwa ajili ya shughuli…

Bosi NMB ashinda tuzo Afrika

DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Ofisa Mtendaji Mkuu (CEO) wa Benki ya NMB, Ruth Zaipuna, amepewa tuzo ya CEO Bora wa Mwaka 2022 kwa Benki za Afrika. Mwanamke huyo raia wa Tanzania ametunukiwa tuzo hiyo wakati wa sherehe maalumu…

Wanyama albino wazua gumzo

*Pundamilia, nyati, twiga albino waonekana Tarangire, Katavi *Wananchi wafurahi, wadhani ni kivutio kipya cha utalii *Wataalamu wapinga, wadai kuna tatizo kubwa na la hatari MARA Na Anthony Mayunga Nyati mweupe ameonekana ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Tarangire na kuwa…

SSP Eva Stesheni: Askari mlinzi wa amani Darfur

DAR ES SALAAM Na Aziza Nangwa Kwamba amani ni muhimu katika maisha ya kila siku ya binadamu ni suala lisilokuwa na ubishi. Amani ni nguzo ya maendeleo. Bila amani hakuna shughuli zozote za kijamii zinazoweza kufanyika. Bila amani maisha ni…