JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Yasiyosemwa Ngorongoro

Ngorongoro Na Mwandihi Wetu Muda ni saa 4 asubuhi, Mkuu wa Mkoa wa Arusha, John Mongella, Mkuu wa Wilaya ya Ngorongoro, Raymond Mangwala, wakiwa na viongozi mbalimbali wa vyombo vya ulinzi na usalama wanaelekea katika Kijiji cha Kimba kilichoko ndani…

Mauaji gerezani

*Nyampala auawa akidaiwa ‘kuiba’ mahindi ya Mkuu wa Gereza  *Mpambe wake anusurika kifo kwa kipigo, alazwa ICU Muhimbili *RPC agoma kuzungumza, aukana mkoa wake akidai yeye ni RPC Mtwara Dar es Salaam Na Alex Kazenga  Wakati taifa likifikiria namna sahihi…

Uchakachuaji mafuta warejea

Na Mwandishi Wetu DAR ES SALAAM Mafuta mengi kwa sasa yanauzwa bila kulipiwa kodi zote za serikali baada ya kudaiwa kuingizwa kwa njia za panya katika mikoa iliyopo mipakani na maeneo mengine ya nchi. Habari za uhakika kutoka kwa chanzo…

Takukuru yachunguza madudu TALGWU 

DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Salum Hamduni, amesema wanachunguza matumizi mabaya ya ofisi, ikiwamo udanganyifu na kutofuata taratibu za zabuni za ununuzi zinazodaiwa kutokea katika Chama cha Wafanyakazi…

Yanga bingwa, lakini…

DAR ES SALAAM Na Andrew Peter Mabingwa mara 28 wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga, sasa wanahitaji kushinda mechi nne ili kumaliza msimu na rekodi ya kutokufungwa. Yanga ilitangaza ubingwa wa ligi wiki iliyopita baada ya kuifunga Coastal Union mabao…

Yahya Jammeh: Dikteta wa Gambia aliyepora mabilioni

Na Nizar K Visram Mahakama ya Marekani imeamuru kuwa jengo lenye thamani ya dola milioni 3.5  lililo karibu na Washington lichukuliwe kutoka kwa Yahya Jammeh, aliyekuwa Rais wa Gambia. Uamuzi huu wa Mei 24, mwaka huu ni baada ya kudhihirika…