JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Barua ya wazi kwa Waziri Mkuu

Mheshimiwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa. Mimi ni miongoni mwa Watanzania wengi waliokupongeza kwa kuteuliwa kwa mara nyingine kuwa waziri mkuu baada ya msiba mzito wa Rais wetu mpendwa, Dk. John Magufuli, Machi mwaka jana.  Hii haikuwa bahati tu kuendelea kuwa kiongozi…

Rais anavyofungua milango ya uwekezaji

Dar es Salaam Na Mwalimu Samson Sombi Maendeleo makubwa ya nchi pamoja na mambo mengine hutokana na maono na msimamo wa kiongozi mkuu wa nchi.  Aidha, maendeleo ya nchi huwa na hatua kuu nne ambazo ni mipango, mikakati ya utekelezaji…

Kuhusu kesi ya kina Mdee kutupwa

Na Bashir Yakub Maombi au kesi inaweza kutupwa na mahakama kwa namna moja kati ya mbili. Inaweza kutupwa katika namna ambayo huwezi kuirudisha tena/kuifungua upya, au inaweza kutupwa katika namna ambayo unaweza kuirudisha tena/kuifungua upya. Kutupwa katika namna ambayo unaweza kuirudisha…

MOI: Watengeneza mkono wa umeme 

DAR ES SALAAM Na Aziza Nangwa Katika mwili kiungo ni kitu muhimu kwa maisha ya mwanadamu, ndiyo maana hata kimoja kikitetereka mtu hawezi kufanya kazi zake ipasavyo. Tunaona namna gani wanasayansi duniani kote wanavyohangaika kubuni mbinu mbalimbali ili kutatua changamoto…

Kishindo miaka 41 ya SUMA JKT

Na Alex Kazenga Dar es Salaam Julai Mosi, 2022 Shirika la Uzalishaji Mali la Jeshi la Kujenga Taifa (SUMA JKT) litatimiza miaka 41 ya kuasisiwa kwake huku likipania kutumia uzoefu wake kutanua shughuli zake hadi nje ya nchi. Linakusudia kutumia…

Mchechu aifunda NHZ ujenzi wa nyumba 

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Nehemia Mchechu, ameanza kutekeleza kwa vitendo maagizo ya Serikali ya Awamu ya Sita ya kuikaribisha sekta binafsi kushiriki kuchangia ukuaji wa uchumi wa nchi ili kujenga Tanzania mpya. Wiki iliyopita Mchechu…