JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Makamba:Mradi wa Rusumo kuongeza uhakika wa umeme

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Imeelezwa kuwa, kukamilika kwa mradi wa umeme wa Rusumo wa megawati 80 kutaimarisha hali ya upatikanaji umeme katika mikoa ya Kanda ya Ziwa ambapo kumekuwa na changamoto ya kuwepo kwa umeme pungufu na usio wa uhakika na…

Mapya yaibuka Mkuu wa Gereza

*Ni yule anayetuhumiwa kwa  mauaji ya mfungwa Liwale *Adaiwa kupelekewa kitanda cha  futi tano kwa sita alalie gerezani  *Askari magereza walalamika kulazimishwa  kumpigia saluti wakati ni mahabusu  Na Mwandishi Wetu Dar es Salaam Mkuu wa Gereza la Wilaya ya Liwale,…

Ukwepaji kodi uwindaji wa kitalii

*Malipo yafanywa kwenye benki za ughaibuni *Akaunti kadhaa zabainika kufunguliwa Mauritius *Tanzania yaambulia ‘kiduchu’, nyingi zaishia huko *TRA, Wizara Maliasili hawana taarifa za wizi huo DAR ES SALAAM NA MWANDISHI WETU Baadhi ya kampuni za uwindaji wa kitalii zinatuhumiwa kukwepa…

Kamishna lawamani kutaka kumega ardhi

MOROGORO Na Aziza Nangwa Taasisi ya Tretem Network of Schools Limited imemuomba Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angelina Mabula, kuingilia kati kitendo cha Kamishna Msaidizi wa Ardhi Mkoa wa Morogoro, Frank Minzikuntwe, kutaka kumega eneo lao kisha…

 Ngorongoro na Loliondo: Kuna uchochezi na ya kujifunza

DAR ES SALAAM NA THEONESTINA KAIZA-BOSHE Katika mpango wa kuwahamisha wafugaji na mifugo yao kwa hiari kutoka Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCA) kwenda Kijiji cha wafugaji Msomera, Handeni mkoani Tanga, serikali imefanya tukio kubwa la kipekee na la kihistoria. …

Mpole kuwa mpole kidogo kwa Simba

Dar es Salaam Na Andrew Peter Kama kuna jina lililopunguza furaha ya Wanayanga katika siku ya mwisho wa msimu huu, ni George Mpole. Mpole, mshambuliaji wa Geita Gold. Aliwakatili mashabiki wa Yanga waliokuwa na imani ya kuona nyota wao Fiston…