JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Serikali yamaliza kiu ya wananchi kutumia mitumbwi

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Kagera SERIKALI imemaliza kiu ya wananchi wanaotumia barabara ya Orthodox-Rwenkorongo-Chonyonyo kwa kutatua changamoto ya kutumia mitubwi kama njia ya usafiri kuvuka eneo la barabara lenye tingatinga umbali wa kilomita 0.25 kwenda kupata huduma za kijamii. Hayo yameelezwa na…

Jaji Mkuu:Wadau msibaki nyuma safari ya Mahakama Mtandao

Magreth Kinabo na Mary Gwera,JamhuriMedia Jaji Mkuu wa Tanzania,Prof. Ibrahim Hamis Juma amesema kwamba wadau wa Mahakama ya Tanzania wasibaki nyuma katika matumizi ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) wakati huu Mahakama inapoelekea kwenye Mahakama mtandao ‘e-Judiciary’. Akizungumza na…

Matajiri ‘wategesha bomu’ Nyamongo

*Likilipuka litaufilisi mgodi, litawaachia wananchi umaskini * Wengi wao ni kutoka Dar es Salaam, Mwanza *Serikali yaombwa kuingilia, kuzuia hali ya hatari TARIME Na Mwandishi Wetu Wakati serikali ikifanya jitihada kuweka mazingira mazuri ya uwekezaji kwa manufaa ya wananchi, baadhi…

Yametimia vigogo Dar

*Wakabidhiwa Takukuru kwa mahojiano  *JAMHURI yadhihirisha umahiri wake licha ya Mkurugenzi wa Jiji kutishia  kulishitaki kwa kuandika habari hiyo  DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Hatimaye yametimia. Hivi ndivyo unavyoweza kusema baada ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, kuwasimamisha kazi vigogo…

Hifadhi ya Ngorongoro itadumu?

DAR ES SALAAM NA THEONESTINA KAIZA-BOSHE Katika makala iliyopita nilizungumzia mazuri, shutuma na ya kujifunza kuhusu hatua ya serikali kuhamisha Wamasai kwa hiari kutoka Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCA) kwenda Kijiji cha Msomera, Handeni mkoani Tanga. Nikaipongeza kwa tukio…

Rais Mwinyi azitaka manispaa Zanzibar zitafute fedha

UNGUJA Na Mwandishi Wetu Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amezitaka manispaa kubadilika na kutofanya kazi kizamani na badala yake zitafute fedha kwa ajili ya miradi katika maeneo yao hasa ya mijini. Kauli…