JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Uongozi Yanga: Manara hakutendewa haki

Baada ya Kamati ya Maadili ya TFF kumkuta na hatia Haji Manara na kumfungia miaka miwili kutojihusisha na soka ndani na nje ya nchi na faini ya sh. milioni 20 kwa makosa ya kumvunjia heshima Rais wa TFF, Wallace Karia,…

IGP Wambura :Watakaovunja sheria kushughulikiwa

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, Arusha Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Camilus Wambura amewataka wananchi wa jiji la Arusha kuendelea kutunza amani iliyopo na kutokujiingiza kwenye vitendo vya uvunjifu wa amani hasa kipindi hiki ambapo kuna mkutano mkubwa wa Maras…

Mwigizaji wa filamu ‘Sonia’ afariki dunia

Msanii wa filamu nchini Tanzania, Farida Sabu maarufu ‘Sonia’ amefariki dunia.Sonia amewahi kuwika katika maigizo mbalimbali ya kundi la Kaole. Mwenyekiti wa Chama cha Waigizaji, Chiki Mchoma amethibitishwa leo Alhamisi Julai 21, 2022 na Amesema marehemu Sonia amefikwa na umauti…

Manara afungiwa kujihusisha na soka

Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania leo Julai 21, 2022 imemfungia msemaji wa Yanga SC, Haji S.Manara kujihusisha na soka ndani na nje ya nchi kwa muda miaka miwili pamoja na kulipa faini ya sh.milioni 20….

Uganda yajifunza usafirishaji mafuta ghafi TAZAMA

NA Zuena Msuya, JamhuriMedia,Dar Serikali kupitia Wizara ya Nishati imepokea Ujumbe kutoka nchini Uganda waliokuja nchini, kuona na kujifunza mambo mbalimbali kuhusu sekta ya Mafuta hasa usafirishaji wa mafuta ghafi kupitia Bomba la kusafirisha mafuta ghafi kutoka Tanzania hadi Zambia…

‘Asiyeshiriki kuhesabiwa anarudisha nyuma maendeleo’

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Hanang’ Serikali imepanga kuhesabu kwa mara moja watu wote watakaolala nchini kwenye usiku wa kuamkia siku ya sensa Agosti 23 mwaka huu. Waziri wa Fedha na Mipango Dkt Mwigulu Lameck Nchemba ameyasema hayo mji mdogo wa Katesh Wilayani…