JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Kinana, Shaka watua Katavi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Katavi Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana amewasili mkoani Katavi kwa ajili ya kuanza ziara ya kikazi itakayokwenda sambambamba na kupokea taarifa na kukagua miradi ya maendeleo. Katika ziara hiyo ya…

TAMISEMI kufanya uchunguzi miradi yenye upungufu

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Kilwa Naibu Katibu Mkuu (Afya) Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) Dkt. Grace Magembe amesema hajaridhishwa na kasi ya utekelezaji wa ujenzi wa miundombinu ya kutolea huduma za afya unaotekelezwa katika Halmashauri ya…