JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Kinana amfagilia Rais Samia anavyojituma

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mbeya MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana amemmwagia sifa Rais Samia Suluhu Hassan kutokana na kazi kubwa anayofanya ya kuleta maendeleo ya Watanzania. Kanali Mstaafu Kinana ametoa sifa hizo kwa Rais Samia…

Mgawo wa umeme Ludewa wapatiwa ufumbuzi

Waziri wa Nishati,Januari ametoa ufumbuzi wa changamoto ya miaka mingi ya mgawo wa umeme wa masaa 12 kwa vijiji 20 katika Wilaya ya Ludewa ambavyo vimekuwa vikipata umeme kutoka kampuni ya Madope. Kampuni hiyo ya Madope inayoendesha mradi huo mdogo…

Wahukumiwa kwenda jela miaka 150

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Tabora Watu 5 wamehukumiwa kifungo cha miaka 150 jela baada ya kupatikana na hatia unyan’ganyi wa kutumia silaha katika eneo la Urasa kata ya Mambali wilaya ya Nzega mkoani Tabora. Akitoa hukumu hiyo jana hakimu mkazi wa Mahakama…

Jenista aiasa Tume ya Utumishi wa Umma kusimamia haki

Na Veronica Mwafisi,JamhuriMedia,Dodoma Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Jenista Mhagama ameiasa Tume ya Utumishi wa Umma kusimamia haki wakati wa kutoa maamuzi ya mashauri ya kinidhamu ya watumishi wa umma…

Serikali yaja na mkakati wa ‘My Dustbin’

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Dkt. Selemani Jafo ameiagiza Mikoa na Halmashauri kutengeneza mikakati ya kuhakikisha masoko katika maeneo yao yanakuwa safi. Dkt. Jafo ametoa maagizo hayo leo Julai 30,2022 wakati akishiriki zoezi…

Waziri Maliasili afanya ziara ya kikazi TAWA

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Mary Masanja ametembelea ofisi za Makao Makuu ya Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) zilizopo mkoani Morogoro. Ziara hiyo imelenga kuzungumza na menejimenti na watumishi wa TAWA kuhusu masuala mbalimbali yanayoihusu Mamlaka, ikiwa ni…