JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Mataifa nje ya Afrika yaomba kujiunga na wazalishaji almasi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia,Arusha Baadhi ya mataifa nje ya Afrika yameomba kujiunga kama wanachama waangalizi katika Jumuiya ya Nchi Zinazozalisha Almasi Afrika (ADPA) zikiwemo taasisi zilizobobea kwenye masuala ya madini hayo. Hayo yamebainishwa na Waziri wa Madini, Dkt. Doto Biteko…

Pinda awataka wafanyabiashara kuacha ‘kuchakachua’ bidhaa

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Dodoma WAZIRI Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda, amewataka wafanyabiashara nchini kuwa waadilifu na kujiepusha na kuchakachua bidhaa kwa kuwa inachangia kushusha ubora. Pinda ameyasema hayo jijini Dodoma wakati wa Kongamano la Uongozi na biashara lililoandaliwa na Taasisi ya Kingdom…

Wadau sekta ya mifugo watakiwa kuchangamkia fursa

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Tabora Wadau wa sekta ya kilimo,mifugo na uvuvi na wafanyabiashara kutoka Mikoa ya Kigoma na Tabora wametakiwa kuchangamkia fursa zilipo kwenye maonesho ya nane nane mwaka huu pamoja na kujionea teknolojia mpya zinazotumika kuongeza thamani. Wito huo umetolewa…

Wananchi wazuia msafara wa Waziri wa Maji

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Arusha Wananchi wa Mto wa Mbu wilayani Monduli mkoani Arusha wamezuia msafara wa Waziri wa Maji, Jumaa Aweso kulalamikia kukosa maji ya matumizi mbalimbali kwa muda mrefu. Kufuatia hali hiyo Waziri Aweso amelazimika kuchukua maamuzi magumu ya kutangaza…

Madaktari bingwa wa Saratani bado ni changamoto nchini

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, Arusha Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema chama cha madaktari bingwa wa maradhi ya Saratani (TOS) kinapaswa kuhamasisha madaktari waliomaliza masomo na wanaofanya kazi kujiunga katika kusomea programu ya Saratani(oncology) ili kuweza kuondokana upungufu wa madaktari bingwa…